Leo nimetimiza mwaka bila kula chips mayai wala soda

Usikariri sana au kila kitu kitaalam, kwa mwanaume ugali ni chakula cha lazima tena dona siyo sembe, iwe mtama, mhogo au dona lakini ugali ni chakula cha lazima kwa mwanaume, kwa mwanamke si lazima.

Usigoogle kila kitu kwenye maisha, vingine fuata asili.
Kuna watu hawali ugali kabisa na hawaujui na wana nguvu zao zote
 
Leo 22-04-2023
Nimetimiza mwaka bila chips

Ilikuwa safari ngumu ya kujenga afya yangu hasa kwa mtindo bora wa maisha na kujikinga na maradhi sugu.

Upi ushauri wako? Ni vyakula gani vya kupunguza zaidi ili kujikinga na magonjwa sugu?
Punguza matumizi ya wanga .ongezea matumizi ya, mboga za majani , matunda na protein especially za mimea, na wanyama.
 
Hongera sana Mkuu.

Ila ukiwasikiliza sana hawa jamaa wa lishe unaweza ukaangamiza afya yako kwa kuwa na BMI ndogo ambapo hata malaria ikikupata unakwenda na "MMA".

Mwili unajengwa na chakula makundi yote ya chakula ,sasa wakikwambia usile wanga na mafuta hao ni WEHU.

Zingatia Balanced diet.
 
Protein na mafuta asilia kama siagi ,samli,nazi ,olive oil ndio yanatakiwa ili mwingi uingie kwenye ketogenic uchome mafuta,upunguze uzito ,ushushe sukari ,presha,homon imbalance vyakula adui kwa kunenepesha ni wanga na sukari
Vipi kuhusu Magarine kama Bluebland je nayo ina madhara yoyote maana kuna mtu aliniambia kuwa yanatabia ya kuganda kwenye mishipa ya damu na kwenye moyo?
 
Leo 22-04-2023
Nimetimiza mwaka bila chips

Ilikuwa safari ngumu ya kujenga afya yangu hasa kwa mtindo bora wa maisha na kujikinga na maradhi sugu.

Upi ushauri wako? Ni vyakula gani vya kupunguza zaidi ili kujikinga na magonjwa sugu?
Kinachoshangaza ni kwamba kuna watu wanaishi maisha ya kunywa pombe , kuvuta sigara na anasa nyengine lakini wanatoboa miaka hadi 100
 
Leo 22-04-2023
Nimetimiza mwaka bila chips

Ilikuwa safari ngumu ya kujenga afya yangu hasa kwa mtindo bora wa maisha na kujikinga na maradhi sugu.

Upi ushauri wako? Ni vyakula gani vya kupunguza zaidi ili kujikinga na magonjwa sugu?
Chakula chochote kinachoongezwa sukari ya kiwandani kama sweetener.

Mimi pia nimetimiza miezi sita bila kunywa soda wala juice yoyote ya kiwandani.

Niliacha pia kula chapati na chai iliyotiwa sukari.

Kwa muda huo mfupi nimeona mabadiliko haya.
1. Tumbo limeisha nilikuwa na kakitambi kakuzugia.
2. Hata nitoke jasho vipi mwili hautoi odour ya jasho jingi.
3. Sipati njaa hovyo hovyo kama mwanzo.

Plan yangu ni kufukuza kopo la sukari nyumbani kwangu in my entire life.
 
Sa ukifukuza kopo la sukari tutakua hatupulizi chai asubh au kuna m badala wa sukari hapo
 
Usikariri sana au kila kitu kitaalam, kwa mwanaume ugali ni chakula cha lazima tena dona siyo sembe, iwe mtama, mhogo au dona lakini ugali ni chakula cha lazima kwa mwanaume, kwa mwanamke si lazima.

Usigoogle kila kitu kwenye maisha, vingine fuata asili.
Ugali sio chakula cha lazima tuache ku-overrate vitu ,huko ulaya wachezaji mpira hawali ugali na wanastamina balaa
 
Back
Top Bottom