mkuu ulifaidi sana,alikupa namba?
salute kwako mkuu falcon mombasa ama hakika mwenzetu unafaudu mautamu ya neema za allah!!!
piga ua lazima one day nitimbe huko.
Sasa tushaona kuwa reception ni mia kwa mia bado wezere mkuu usisahau kutupiapo tupicha twa mibinuko si unajua tena yakheee mambo yetu yaleeee!!
Totoz nyingi karee zipo Ethiopia na Rwanda na Kilimanjaro
mkuu vipi kuhusu utamu wao hapo kati?tupia picha zao ukiwa nao gesti,tupia picha za maanahuu mji warembo wa kumwaga
Now you are talking..........
huu mji warembo wa kumwaga
huu mji warembo wa kumwaga
Mkuu inbox yangu pia ina nafasi unaweza kuitumia pia!nilipost picha za kumwaga za last night nikiwa club naona thread imefutwa,labda nikutumie inbox kama itawezekana
Nahapa sitaki tena mademu wa kibongo....nawaachia wanigeria tu wawachezee na kuwatumia. Najiendea Adis!
Culture aliimba there is a land, far far away, its called Addis Ababa. Jana nimeona wamezindua telescope ya anga za juu. Watafika mbali hawa jamaa
Nahapa sitaki tena mademu wa kibongo....nawaachia wanigeria tu wawachezee na kuwatumia. Najiendea Adis!