falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,213
- 9,334
- Thread starter
-
- #81
Mkuu @falcon mombasa Mihuwa nakukubali pressentesion yako mi ntakutafuta chemba Kwenye mambo yetu kuna mahali tulipoteana Lkn napenda kujua kwa wataalam labda wauchumi nk Kwamba kwanini Ethiopia inasifika kwa maendeleo lkn wananchi ni masikini wakutupwa! Hii kitu huwa siielewi kabisa
Waulize pia hao waethiopia kwanini wanakimbiaga kwao kuja tz maana tumechoka kusikia na kuona wanavyofungiwa Ktk fuso hadi wengine wanakufa kwa kukosa hewaninachojiuliza pia ni kwamba ni kitu gani watanzania wanakipata halafu wa ethiopia hawana,jibu ni kwamba hakuna ambacho watanzania tumewadhidi waethiopia ,tena addis imejengeka dar haioni ndani,nafikiri wako na inspiration ambayo walirithi katika psychology zao ya kuamini maisha mazuri hadi watoke nje ya hapa
Mkuu Mimi naomba picha za jiji la Addis Ababa
.....hii mambo noma sana !!!
Usiache kutembelea ubalozi wetu pale Bole.Kila Ijumaa jioni na weekends utapata nyama choma na ugali.
Utaachana na njara za kihabeshi.
Ila kuwa makini na tumia condomu.Ukimzalisha mhabeshi tutakusahau.
Fine mwanzoni ilikuwa usd 50,000 juzi nilipokuwa huko walinambia imekuwa usd70,000.
Kwa wasiojua ni kuwa bila kulipa fine hiyo hapo juu hawakuruhusu kuondoka nchini mwao.
Yupo rombo au wapi?He he he......halooooooo.........tembeeni muone jamani........akhaaaa.......
Cc BADILI TABIA....... Evelyn Salt...... Khantwe.........
Sura za kizungu miguu ya kijaruo.
.....hii mambo noma sana !!!
Angalia vizur.... Sura na miguu vinaendana.?Kweli kuna wtt wamebika unaweza kuuza nyumba
Angalia vizur.... Sura na miguu vinaendana.?
hapa afrikast wakumwaga,mashombeshombe tuu,sijui mungu kawa umbaje,wazungu si wazungu,waarabu si waarabu,waafrika si waafrika,halafu hawana matiti makubwa kama dada zetu wa tz
Yaani balaa. Hawa wa huku kwetu kichwani ni miwigu na wengine matako ya china halafu wana nyodo utafikiri original kama hao wahabeshi. Nauli ikikamilika nitakuwa huko Agosti....
.....Mkuu falcon mombasa haya makitu noma sana unaweza tokomea huko !!!
Note: hiyo nywele sio ya katani ni kitu living
punguza ushamba mtoto wa 92,hizo ni leggins
Bado sana utafkir wamechorwa..... Wakomalie bas ku cream miguu viendane...
Unataka kusema ni wazuri kumzidi huyu mrembo wetu wa mawigi mwenye nyodo nyingi Ubaya Sepeku?hapa afrikast wakumwaga,mashombeshombe tuu,sijui mungu kawa umbaje,wazungu si wazungu,waarabu si waarabu,waafrika si waafrika,halafu hawana matiti makubwa kama dada zetu wa tz
Unataka kusema ni wazuri kumzidi huyu mrembo wetu wa mawigi mwenye nyodo nyingi Ubaya Sepeku?