Leo nimepiga mwanamke

Yan unampiga mkeo na kuja kujisifia jf wewe ni dhaifu na sio mstaarabu na ndio maana huheshimiki ningekua mimi police Ingekhusu hata mwezi mfyujuuuuj
Rudi shule naona hata uwezo wa kusoma na kuelewa unakupa shida
 
Kwa ufupi, yapo matatiz meng san kwenye ndoa, na inahitaji mbinu nyingi sana za kuyatatua. Swali kw mtoa mada, 1. Kuja sa tano ndo muda wake wa kila siku? Kam sio kurakuwa na cheni ndefu ya matatizo yao.
 
Mwanaume ni kichwa cha familia, kila tatizo linalotokea krk familia kuna namna fulan ambayo mme umelegea. Gari likipata ajari anaulizwa dreza sio kondact wala abiria, Kampuni yoyote ikipata loss, meneja anawajibishwa sio wafanyakazi. Vilevile nchi ikizubaa kimaendeleo Raisi analaumiwa. Wanaume tuamke.
 
mpe jamaa pole sana,,,, najua hasira tena za hawa wadudu kike huwa zinakuwa kali sana, ila hukustahili kumpiga,,, kwake yeye anaona yeshaisha,,,, angetoka grocery ya karibu apige roba kama mbili then kimya.....asubuhi ukiwa huna hasira, kuna mawili aidha yeye aondoke au wewe uhame......sbb huyo mwananke ana kidume... tena kidume kweli...huna mke hapo...utapiga utauwa,,, segerea chimbo lako...watoto watapata shida muraa....
 
Alianza na koffi olomide
 
Duuuuu siku hizi wakurya tumekuwa wapole hadi raha...
 
Mwanamke n kama mtoto, anahitaji kudekezwa na kueleweshwa vzr zaidi, ila sometimes viboko ni muhimu! As long as haudhuru mwili kipigo kinaruhusiwa

Hapo chakufanya zidisha upendo na mtibu kwa kumdekeza mwanzo mwisho mpaka ajihisi malaika, asipobadilika baada ya kipigo hicho basi atakuwa analake jambo
 
Amerudi nyumbani saa 5 usiku halafu anajibu kunya mmhh hapo kuna jambo la siri kubwa sana. Anza na kumchunguza nyendo zake halafu kama bado kalala muache alale mpaka akiamka ndio mzungumzee. Pia utakapo ongea nae usijishushe akakuona huwezi kumuacha na mimatusi na kurudi usiku mkubwa kama mke wa mtu.
 
wew utakua pacha wa koff olomide
 
Wewe fanya tu unavyojisikia, ushampiga, kakudharau, kakutukana ila wewe wajisema kwa upande wenye asali tu.
 
Mnh mtu anakuwa proud kwa kumpiga mwenza wake what a shame?
 
Baba mkeo huyo unachapiwa nje, fuatilie utaona sio kawaida hiyo.
 
Asilimia kubwa ya wanawake akipata mjuzi nje ya ndoa basi humdharau wa ndani (mume). Kifupi anachepuka
 
Sijawahi ona hapa kwenye jukwaa mwanaume wa kichaga ananyanyaswa na mwanamke wa kichaga au mwanamke wa kabila lingine. Kimsingi wanaume tofauti na wachaga ni dhaifu mno kila siku ni kuja kulalamika hapa. Kwanza mnaoa wanawake wa kichaga kwa nini? Kama mmeambiwa msioe na mababu zenu sasa mnaoa wa nini? Ukiambiwa usioe mchaga na wewe ukaoa utapigwa tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…