Leo nimepatikana, ogopa vitu vyepesi

Leo nimepatikana, ogopa vitu vyepesi

Huyu sio mgegedaji tena wenye tatoo ndio watamu na watundu kweli
Sio poa mzee baba hao watu wana mabalaa. Hawanaga mshipa wa aibu kunako bed.

Hawa mademu wanaonekana decent utakuta kazuri kweli lakini kitandani shoo ni zero kidume hauenjoy
 
Vipimo vya ngwengwe vilivyojaa pharmacy mnafeli wapi

Tattoos zake ni mambo ya Ngoswe,ukisoma mstari mmoja tu anaelekezwa kibra.
 
Tattoo haina shida yoyote hizo ni interest za watu na maisha yao kama wewe umezoea waimba kwaya na wale wa vijijini we endelea lakini nakuonya kuna mabinti hawana tattoo wala hawanywi pombe hata hawavuti chochote lakini wanabanduliwa kotekote na wanauza hiyo kitu kwa bei rahisi sana hivyo don't judge someone kwa vitu vichache, wapo wanawake na heshima zao kama mnafahamiana waweza mwita kama utani akatia maguu kumbe umempatia kwenye angle dhaifu kwamba ana kipururu, etc so don't think she is used to be simple like that on everyday basis.
 
Leo bwana nipo gheto pisi imenipigia simu inakuja then ni kasema fresh njoo. Guess what kaingia ndani we make stories and all.

Suburi ni rewind kidogo hii pisi nimeijua kwa job with the chats and stories we link up and tuka plan ku meet then today happen kumbuka kwa job ni mtu safi yani poa sana.

Leo 😂😂😂 Well she has several tattoos actually 5 tattoos I am shocked. She is sleeping over. I refuse kuuza Match. Machine imegoma kusimama all night. I just can't sleep with her. I can't
Chagua kuandika Kiingereza au Kiswahili, acha kuandika kama mtoto wa sekondari!
 
Kuna Manzi nilimiacha akiwa na tatoo 5 na sasa ana tatoo 27! Alaf moja kubwa kama bango ipo mkono wa kulia imeandikwa LOVE IS BITCH. Nimeshindwa ata kumuuliza maswali Mengi sababu kubwa tukikutana na hii pisi huwa hatuulizani mengi zaidi ya kuwasha jani Puff n Pass kisha Kuchakata mchakato kisha kila mtu na hamsini zake. Huyu manzi ni wale scammer wa mtandaoni, kauzu hana story nyingi, ki ufupi huwa anatoka huko aliko, kuja Bongo kuvuta na kuchakatwa kisha anasepa zake abroad! Tulikuwa na ndoto za kuwa wazazi wa watoto wetu lakini kwa pamoja tumekubaliana hatuna sifa za kuwa wazazi kwa kuzaa pamoja maana sisi wote ni vichefu chefu. Tuna zaidi ya miaka 10 ya mahusiano ambayo huwezi kuyaelezea yakaeleweka lakini ndio hayo mahusiano tunasonganayo..Mahusiano yasiyohusisha Mazungumzo yahusuyo NDOA. Hakuna muoaji hapa wala muolewaji. Hata huyo shekhe hawezi kubali.
 
Back
Top Bottom