Nafasi niliyo acha hapo juu ni kwaajili ya salamu nikimaliza kuandika uzi.
Sasa......
Huyu piss ni mpangaji mwenzangu, kila jumapili yeye anakuaga mapumziko na haendi kazini.
Kilicho nikwaza ni kila anapokua mapumziko anaanika chupi zake kwenye kamba yote hasi inajaa, yaani sijui hua anavaa...
Nadhani kuna uzi humu ulikuwa unaelezea kero zinazopatikana katika nyumba za kupanga, mimi kiukweli kero ndogondogo huwa nazitatua mwenyewe ndio maana ule uzi nilikuwa naupitia juu juu tu, ila baada ya kunikuta jambo kwenye hizi nyumba za kupanga ndipo hapo ikabidi niurudie kuusoma ule uzi upya...
Toka jana anapiga taarabu za vijembe na kujisifu wanavyopendana ka bwana kake na mimi nikaona isiwe kesi, nikadownload ngoma moja ya jamaa wa Kenya anaitwa alvindo nimbo inaitwa Taka Taka.
Inasema... Unakataa kuwa demu yangu naenda kwa mrogi nakuroga unakufa... Na nakuja kwa mazishi yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.