Leo nimelia mno

Leo nimelia mno

Mil 10 zangu zimeshikiliwa na majambazi hayataki kunipatia pesa zangu.
Pasaka hii watoto wangu wanakula ugali bamia halafu Kwa jirani pilau kuku linanukia, na Coca Cola baridi jirani anajiachia tu.
mwanangu wa miaka mitano kapagawa baada ya kuona ugali bamia na jirani pilau, mwanangu alipolia Kwa uchungu nami nikalia Sana Kwa hasira, ni bora usizaliwe kuliko kuzaliwa ktk taifa dhulumati Kama hili.
Undugu si lazima mzaliwe tumbo moja..hebu nitumie namba za mkeo nikuwezeshe kidogo siku isiwengumu sana
 
watu wengne bana, mtu haeleze hio 10ml imeshikiliwaje, je kuna kitu kgne wanataka after hio 10ml, mana umesema hawatak kukurudishia asa kweli jambz apole pesa halaf arudishe, . haijulikan n taarifa au unaomba ushaur wa chakufanya, unaulizwa hujib, umeandk thred umesepa, Utasaidiwaje sasa? au tujue ulikua na 10ml
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom