Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 12,212
- 17,005
Habari Wana JF,Miaka ya nyuma huko1960.......1990,Tuliokuwepo, unaenda posta unakoroga simu kwa operator,anskuitikia unataka namba baadae anakuunganisha unaongea na kutumbukiza hela ya muda wa Maongezi .
Kama huna hela unasema reverse call,akikubali unayempigia kwamba itaingia kwenye bill yake,tunaanza kuongea,kimbembe akikutolea nje!Huna budi kurudi mtupu na ujumbe wako kichwani!
La pili ni hili la barua,huna stamp unaituma hivyohivyo! Mwenye jina anapelekewa karatasi ya kuonyesha kuna jambo lake,Akienda anakutana na Madai ya stamp!Analipa na kupewa barua.
Hii Leo imenikumbusha mbali kuna barua,nimeambiwa Lazima ipitie posta na nilishasahau mambo ya posta,Enzi hizo stamp Senti Tano,Kumi, Hamsini,Sasa hivi elfu,elfu mbili hadi Tano kutegemeana na inakoenda.
Mlikuwa Enzi hizo mnakimbuka Nini?Siku hizi kila kitu kama kiganja Cha mkono!