Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,453
- 2,206
Baada ya kuwa nachepuka kwa muda mrefu leo nahacha lasmi na mke wangu naomba anisamehe leo nikiwa guest tena na mke wa mtu roho imeniuma sana nikawaza inakuaje kama ni mke wangu akifanyiwa ivo nikaisi nitaumia sana afu kingine yule mke wa mtu ana mimba ambayo hana uhakika kama niya jamaa ake au ya kwangu ivo imeniuma zaidi baada ya kuwaza jamaa anaweza kulea mtoto asiye wake .nimemwambia mazoea sitaki tena japo hajakubali lkn ndo ivo nafsi inanisuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimba atamwambia jamaa niyake lkn itaniuma zaidi kama itakua yangu afu jamaa ashikishwe
Nitajitahid nipunguze kama sio kuhacha kabisaaKuchepuka ua hatuachi ni uchumi tu umeyumba kipindi hiki ndio maana tunaona michepuko kama sio vile. Ngoja uchumi wa nchi ukae sawa guest zote zitajaa kama kawaida. Kuchepuka ni hulka na ni umri Fulani hivi utaacha ukishastaafu huko above 60
Pole sana jitahidi utubu kwa Mungu utapata njia ya kweli kuachana na hiyo tabia ngumu ya kuchepuka. Sisi wote si wakamilifu mbele za Mungu sali sana nduguBaada ya kuwa nachepuka kwa muda mrefu leo nahacha lasmi na mke wangu naomba anisamehe leo nikiwa guest tena na mke wa mtu roho imeniuma sana nikawaza inakuaje kama ni mke wangu akifanyiwa ivo nikaisi nitaumia sana afu kingine yule mke wa mtu ana mimba ambayo hana uhakika kama niya jamaa ake au ya kwangu ivo imeniuma zaidi baada ya kuwaza jamaa anaweza kulea mtoto asiye wake .nimemwambia mazoea sitaki tena japo hajakubali lkn ndo ivo nafsi inanisuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana si makali ila ni ukweli malipo ni hapa hapa
Asante mkuuPole sana jitahidi utubu kwa Mungu utapata njia ya kweli kuachana na hiyo tabia ngumu ya kuchepuka. Sisi wote si wakamilifu mbele za Mungu sali sana ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mkuu ukishakojoa kwa mchepuko unajiona mshindi? Fala ? Au mpuuzi fulani hivi mbunye ina mcontrol? Wenzio wanafanya kazi we upo unakatikia uke halafu utasema maisha magumu[emoji23]
nimekusoma mjamaaPole sana jitahidi utubu kwa Mungu utapata njia ya kweli kuachana na hiyo tabia ngumu ya kuchepuka. Sisi wote si wakamilifu mbele za Mungu sali sana ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana jitahidi utubu kwa Mungu utapata njia ya kweli kuachana na hiyo tabia ngumu ya kuchepuka. Sisi wote si wakamilifu mbele za Mungu sali sana ndugu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kama uko na mke wa mtu hapo hauchepuki ni mnabadilishana uzoefu.