Sijui ni lini mgombea wa Urais atakuja na sera ya kuwakimbiza hawa wapuuzi. Atapata kura nyingi sana. Wakati mwingine nawachukiaga UKAWA bure tu ila UKAWA wakiichukua hii nchi hao Wahindi wataipata habari yao. Kuna baadhi ya watu wakubwa wanawapa vichwa hawa watu kwasababu ya rushwa.
aiseeWahindi ni kama wachaga ni wabaguzi sana
hahahaha uwiii nacheeka na bosi ni muhindi oooh tate nane nafukuzwaKuna vijana wananukia harufu ya bangi na vikwapa hata kuvumilia inakuwa shida.
heheeee,,toka lini ,,shindwaWahindi ni kama wachaga ni wabaguzi sana
Pengine una kikwapa hujijui.
teheteheteheteheee nacheka sana aseemimi sio muhindi lakini kama una harufu mbaya nabana pua,, tena ndani ya lift hewa nzito! umhh
Hili nalo neno...Pengine una kikwapa hujijui.
Angebana pua mbongo mwenzio ungelalamika..? Maana inawezekana ubaguzi umo kichwani kwako....WEWE HUJIELEWI MBONA WAO HATUWADHALILISHI NA WANAZINGUA KINYAMA.....
Mmmh hapo samahani naona umezidisha sukari katika chai... sasa hainyweki!! just be fair !!hili la kuwa waafrika wananuka ni mentality ya watu wa Asia. mimi mwanzoni nilipata cultural shock lakini siku hizi hata sijali. Ukiwa nchi za Asia nyingi kati ya hizo utakutana na huu ujinga,ukikaa kwenye train au daladala basi siti za jirani hakuna atakaekuja kukaa na wewe ,wako radhi wasimame.Wengine huwa wanabadili mpaka njia wasipishane na wewe mtu mweusi.
mkuu hizo dengu zinalimwa nani.... ??Walikuwa wamejambiana wenyewe uko baada ya kula mavyakula yao ya dengu afu wanazuga kubana pua,shenzy sana ingekuwa mm ningecharaza hao hadi wanye kabisaaa
wakiwa hapa kwetu na wale chawa wasioisha sijui ni wa ukoo ama vepe loh halaf haya majamaa huko makwao ni masikini wa kutupa kabisa mtu anazaliwa jalalani anaolea jalalanii anazikwa jalalani pyeeeeeeeeeeeeehili la kuwa waafrika wananuka ni mentality ya watu wa Asia. mimi mwanzoni nilipata cultural shock lakini siku hizi hata sijali. Ukiwa nchi za Asia nyingi kati ya hizo utakutana na huu ujinga,ukikaa kwenye train au daladala basi siti za jirani hakuna atakaekuja kukaa na wewe ,wako radhi wasimame.Wengine huwa wanabadili mpaka njia wasipishane na wewe mtu mweusi.
Huyo huyo wa jalalani akija TZ anakuwa CEO, CFO, Director na nani tena..?!?wakiwa hapa kwetu na wale chawa wasioisha sijui ni wa ukoo ama vepe loh halaf haya majamaa huko makwao ni masikini wa kutupa kabisa mtu anazaliwa jalalani anaolea jalalanii anazikwa jalalani pyeeeeeeeeeeeee
wanaudhiiiiiiiiiiii saanaHuyo huyo wa jalalani akija TZ anakuwa CEO, CFO, Director na nani tena..?!?