Mr.mzumbe
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 1,062
- 1,065
Habari,
Leo mida ya saa tisa hivi, nilikuwa Ahaad apartment(Morogoro rd/Libya street) floor X. Nilipomaliza kazi zangu nikabonyeza lift ili niweze kushuka ground floor, kipindi naingia kwenye lift kuna mdada wa kibongo (alikuwa amevaa vizuri tu) alikuwa anashuka na humo ndani walikuwa wahindi wawili wanawake wamebana pua.
Mara ya kwanza nilifikiri labda wanabana pua zao kwasababu zao binafsi. Kumbe sababu yao ilikuwa ni sisi waswahili tuliopanda ndani ya lift tulikuwa tunanuka!!!! Kwakweli nilijisikia vibaya sana, kwa hiko kilichotokea.
Nina uhakika asilimia mia kabisa mimi na hata wale abiria wenzangu(waswahili) tulikuwa hatuniki hata kidogo ila ni ubaguzi uliopitiliza. Kweli nipo kwenye ardhi yangu ya Tanzania lakini bado nabaguliwa!!!!!??!!! Hawa watu ipo dawa yao inashemka tu, ipo siku watakuja kutuheshimu sisi waswahili.
Poleni sana watanzania wenzangu ambao hamumalizi siku moja bila ya kunyanyaswa na wahindi.