Rafiki yangu amenipigia simu sasa hivi kuwa wamegombana na mkewe wa ndoa waliyofunga mwaka jana mwezi wa 12.
Ni hivi walikuwa wanatoka nyumban waende hospital kumuona dada wa uyo rafik yangu amepata ajali. Sasa mwanaume akaingia kwenye gari ili waende akashangaa mwanamke amegoma kuingia ndani ya gari.
Kumuuliza anasema eti afunguliwe mlango aingie wakat hapo mlango ulikuwa wazi ni kuvuta eti haonyeshe kujali kwa kumfungulia mlango mwanamke.
Jamaa akatoka kwenye gari akamlima vibao na makofi mke wake kisha akaingia ndani ya gari akaenda pekeyake hospital.
Nimetoka kuongea naye sasa hivi kwa simu hanalaumu sana hizi tamthilia
ni kweli usemacho tafadhali toa somo tupone.hao hawajui maana ya ndoa, walikurupushana tu kwenda kanisani there is a lot to be done before mtu aingie kwenye mahusiano ya ndoa vijana muwe mnafanya homework zenu la sivyo mtaharibikiwa kasi ya sasa ya mabinti kwenda na watu wa makamo inatisha sana... na wengi wakiwa ndani ya ndoa; na wanaume sasa tumekua kama wavuvi, ni kutega na ndoano tu kuvua na kutupia kikaangoni kuna haja, tena haja kubwa sana ya kuelimisha vijana juu ya ujana na makujuku ya ujanani na dhamana ya ujana pia nina wasiwasi tunapotea kama taifa hasa kwenye maadili probably badala ya kutumia muda mwingi kuzungumzia tamthilia, chadema na ccm na simba na yanga ni high time kubadili theme ya taifa tuanze na operation okoa taifa hali si hali
Kichwa cha jamaa huyo kibovu
Sababu ya kumpiga ni ipi?? Mbona kakurupuka hivyo?
Hivi wanaume Ubabe mbona unawazidi?? Alishindwa nini kumwacha akaondoka? Kulikuwa na ulazima gani kumpiga vibao? Inakera sana
Mi kilochonikera ni huyu mume mambo ya ndani kuanza kuyarusha kwa friends. Wakati mwengine si unajua jamaa anaweza kwenda kuchukua advantage akambembeleza shem na baadae kidogo mambo yakawa tafrani katika family. Mambo ya husband and wife yaishie chumbani. Sio kwa marafiki maskani coz marafiki mara nyingi huishia matatizoni na mashem zao.
Money Stunna hapo sio kuhusu mapenzi ya kitamthilia ila ni jambo la kawaida sana kwa mume kumfungulia mkewe mlango wa gari ni wonyesho wa upendo wa hali ya juu na kuonyesha kujali,sema wife naye alikosea jambo moja tu alitoa request yake kwa wakati mbaya wakati ambao seriousness ilibidi ichukue nafasi yaani kwa ufupi hakuwa matambuzi alitaka aonyeshwe mapenzi katika muda ambao sio,ila ingekuwa ni kawaida its very normal kwa mwanamke kumtaka mumewe amtreat in a special way.Hasira. Dada yake kapata ajali kwenye bodaboda anataka hawai. Wife analeta mapenzi ya kwenye tamthilia
Dada tuombe radhi Wakurya wote. Jamani ss ni watu wema sana ila basi watu wachache wanatuharibia. Mfano njoo mm nikuoe uone tulivyo husband material kuliko hilo kabila lako.Ha ha ha! hiro rijamaa ritakuwa ni rikurya tu!!
Hasira. Dada yake kapata ajali kwenye bodaboda anataka hawai. Wife analeta mapenzi ya kwenye tamthilia
Cjaona Kosa La Kupigiwa Kwan Mda Alokua Akimpiga Cangefungua Tu Mlango!