Kesho akitokea mtu wa kufungua na kufunga huo mlango wa gari mume utasoma nomber kwenye vumbi tumekuwa na kampeni za michepuko sio dili lkn ni dili wanaume wa kibongo hampendi kuonyeshja upendo kwa wake zenu ila tukiwakuta mmechepuka huko nje mpaka nazi huwa mnakuna bibie anaunga mchuzi hivi ni ujinga au mmerogwa?
To hell!Atamfungulia siku ngapi?Wewe ni walewale tu msiosoma hata alama za nyakati.Huwezi kuishi maisha yanayofanana kila siku hata pale halo au mazingira yanapobadilika nyumbani.Itakuwa uchizi fulani.