mimi nina mchumba, tuko in relation for 2 years,jana usiku alikuja kwangu mimi kanikuta nafanya usafi wa chumbani,nikaiona novel ambayo niliipenda sana,nilipokua naiangalia its pages nikakuta niliandikaga maneno fulan ya kumsifu demu wangu wa zamani kama vile i love you so much dear,i will never hurt you, and so on,hayo maneno niliyaandika nikiwa bado hatujawa na relation na huyu,basi nikachukua pen nikawa nayafuta,yeye alipoona akanyakua kitabu akayasoma,from there akakasirika acha chanachana kitabu na kukitupia ndan ya ndoo ya maji,na akasema ameniacha,anaogopa eti kama niliweza kuwa na mtu nikamthamini kiasi kile then tumeachana,kumbe hata yeye tutaachana tu,so bora atimke mapema,Jaman nifanye nini? Na nilikua karibuni kutangaza ndoa,am so confused.Ushauri wenu plz
Pengine hukuwa wazi kwake wkt mnaanza mahusiano yenu, labda ulimwambia hujawai kuwa na mtu yeye ndo wa kwanza!!!
unajua unaweza kumuacha,lakin je utaacha wangapi? Yaani mi namheshimu sana,mpaka nawaza kumtafutia kamchepuko,
Na hiki hasa nahisi ndio kilichopo....ndo mana mimi huwa nasisitiza mnapoingia kwenye mahusiano mapya kuweni wawazi kuhusu mambo yenu yaliyopita
Okay kama ni kweli basi asipanick...amwache huyu mchumba apoe kisha amweleweshe tena..kama aki insist basi ajue alikuwa anamtafutia sababu tu ya kumwacha hakuwa anampenda kivile...angekuwa mwelewa angeshaelewa toka mwanzoni.
Siwezi kuoa mwanamke mwenye hasira za kizungu, leo kachana kitabu kesho si atavunja tv?? Kwa pesa gani?
Nitafungwa bure.
mimi nina mchumba, tuko in relation for 2 years,jana usiku alikuja kwangu mimi kanikuta nafanya usafi wa chumbani,nikaiona novel ambayo niliipenda sana,nilipokua naiangalia its pages nikakuta niliandikaga maneno fulan ya kumsifu demu wangu wa zamani kama vile i love you so much dear,i will never hurt you, and so on,hayo maneno niliyaandika nikiwa bado hatujawa na relation na huyu,basi nikachukua pen nikawa nayafuta,yeye alipoona akanyakua kitabu akayasoma,from there akakasirika acha chanachana kitabu na kukitupia ndan ya ndoo ya maji,na akasema ameniacha,anaogopa eti kama niliweza kuwa na mtu nikamthamini kiasi kile then tumeachana,kumbe hata yeye tutaachana tu,so bora atimke mapema,Jaman nifanye nini? Na nilikua karibuni kutangaza ndoa,am so confused.Ushauri wenu plz
Wanaume Mna kazi sana,yaani msg ulimuandikia X tangu enzi za mtume Nuhu ndio isababishe muachane!!!
Mie ningemruhusu tu!