Entreprenegro
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 601
- 132
Pengine hukuwa wazi kwake wkt mnaanza mahusiano yenu, labda ulimwambia hujawai kuwa na mtu yeye ndo wa kwanza!!!
Mwanaume aliyekamilika hadanganyi uongo usio na manufaa.
Pengine hukuwa wazi kwake wkt mnaanza mahusiano yenu, labda ulimwambia hujawai kuwa na mtu yeye ndo wa kwanza!!!
Usifanye maamuzi ya haraka mpe nafasi hasira ziishe alafu mtazungumza
Sawa kabisa ila hii reaction mbona sio propotional na issue yenyeweUnajua wakati mwingine ni vizuri kuwa wazi kwa mchumba wako. Yaani inapendeza akijua mahusiano yaliyopita na ulikua deep kiasi gani. Hii kitu wengi hawapendi kuizungumzia lkn ni muhimu sana kwenye mahusiano. Nakumbuka enzi hizo za uchumba mwenzangu alinieleza kwa kina mahusiano yake yalliyopita. Hii Inasaidia hata kama kuna kitu cha zamani kitaonekana kwa mchumba mpya hapatahitaji maelezo mengi na ni rahisi kuelewa. Sasa huyu ndugu kuna sehemu alikosea yapasa afanye marekebisho .
Hata mimi nimeshangaa huenda kuna tusilolijua ambalo mtoa mada hajatueleza.Sawa kabisa ila hii reaction mbona sio propotional na issue yenyewe
Ni kweli mkuu Ablessed umeliweka sawa kabisa, kwa mfano kosa kama la mtoa mada kweli si nzuri kuacha kumbumbu za maex wetu..inaudhi lakini pia sidhani kama ni makosa ya kfanya mtu muachane, tena mtu mmeshatambulishana..inabidi tujitahidi kuangalia viashiria vya migogoro ambayo tutakwenda kujitengenezea kwenye ndoa kabla ya kufika huko..ni ngumu sana lkn ni kumuomba mungu na kuwa makini..Ni kweli kuachana sio suluhisho la kila kitu halafu kwanini mtishiane kuachana , je hakuna namna nyingine ya kufikia muafaka isipokua ni kuachana tu. Hii haiko njema kwani inaonyesha kama vile bi dada anajiona kuwa yeye ni muhimu sana kwa huyu ndugu na bila uwepo wake basi maisha ya jamaa yatakua machungu. Wakati mwingine vijana ke/me wawe waangalifu hasa unapotafuta life partner ni muhimu sana kuangalia mambo ya msingi na si kuongozwa na macho . Yafaa uwepo uwiano sawa wa muonekano wa nje na wa ndani. Wengi hu-ignore red flags pindi zionekanapo.
Lakini kosa hilo mpaka kuachana kweli..!? Labda mwenye uzi kuna kikubwa zaidi kaficha..!?Nawe kaka inabidi ukue sasa inamaana huo ujumbe huwa unasoma baadae usiku unamkumbuka au? kama ni zamani ina maana na huyu girl alishachukua hamsini zake na wewe zako sasa unatunza ujumbe wa nini? Sometime unakuwa chanzo afu likitokea unaanza ee sijui nimtafutie mchepuko go ahead. Kama ingekuwa na yeye umemkutilizia afu akaanza kufuta wala usingemwelewa. Na wengi hapa wangekwambia huyo sio dem achana nae. Mwache kwanza hasira zipungue then uende ukajutie vitendo vyako vya kutunza evidence zinazokuletea matatizo.
Hata mimi nimeshangaa huenda kuna tusilolijua ambalo mtoa mada hajatueleza.
mimi nina mchumba, tuko in relation for 2 years,jana usiku alikuja kwangu mimi kanikuta nafanya usafi wa chumbani,nikaiona novel ambayo niliipenda sana,nilipokua naiangalia its pages nikakuta niliandikaga maneno fulan ya kumsifu demu wangu wa zamani kama vile i love you so much dear,i will never hurt you, and so on,hayo maneno niliyaandika nikiwa bado hatujawa na relation na huyu,basi nikachukua pen nikawa nayafuta,yeye alipoona akanyakua kitabu akayasoma,from there akakasirika acha chanachana kitabu na kukitupia ndan ya ndoo ya maji,na akasema ameniacha,anaogopa eti kama niliweza kuwa na mtu nikamthamini kiasi kile then tumeachana,kumbe hata yeye tutaachana tu,so bora atimke mapema,Jaman nifanye nini? Na nilikua karibuni kutangaza ndoa,am so confused.Ushauri wenu plz