Leo nimeachwa,na sababu ni hii, nishaurini

Leo nimeachwa,na sababu ni hii, nishaurini

Nawe kaka inabidi ukue sasa inamaana huo ujumbe huwa unasoma baadae usiku unamkumbuka au? kama ni zamani ina maana na huyu girl alishachukua hamsini zake na wewe zako sasa unatunza ujumbe wa nini? Sometime unakuwa chanzo afu likitokea unaanza ee sijui nimtafutie mchepuko go ahead. Kama ingekuwa na yeye umemkutilizia afu akaanza kufuta wala usingemwelewa. Na wengi hapa wangekwambia huyo sio dem achana nae. Mwache kwanza hasira zipungue then uende ukajutie vitendo vyako vya kutunza evidence zinazokuletea matatizo.
 
mimi nina mchumba, tuko in relation for 2 years,jana usiku alikuja kwangu mimi kanikuta nafanya usafi wa chumbani,nikaiona novel ambayo niliipenda sana,nilipokua naiangalia its pages nikakuta niliandikaga maneno fulan ya kumsifu demu wangu wa zamani kama vile i love you so much dear,i will never hurt you, and so on,hayo maneno niliyaandika nikiwa bado hatujawa na relation na huyu,basi nikachukua pen nikawa nayafuta,yeye alipoona akanyakua kitabu akayasoma,from there akakasirika acha chanachana kitabu na kukitupia ndan ya ndoo ya maji,na akasema ameniacha,anaogopa eti kama niliweza kuwa na mtu nikamthamini kiasi kile then tumeachana,kumbe hata yeye tutaachana tu,so bora atimke mapema,Jaman nifanye nini? Na nilikua karibuni kutangaza ndoa,am so confused.Ushauri wenu plz

Mahusiano ya sasa ni fragile vibaya mno. Yote inatokana na kukosa uvumilivu. Mwache hasira zake zishuke mtaelewana tu.
 
jamani hamna kitu kibaya kama kukumbuka wa zamani hata kwa imagination.jitahd hata picha mtupe.yanaumiza mioyo.anakupenda ila ana wivu wa masai dada
 
Watu wanafumania bado wanasameheana itakuwa hiyo meseji tu tena kwenye kitabu na si kwenye simu?
Mpe mda atulize hasira atarudi mwenyewe kama kweli anakupenda na hakutafutii sababu
 
hahaahahhahah hahaahaha dunia ina mambo
AKAJITUPA NDANI YA NDOO YA MAJI

mahaba nizamishe ndani ya ndoo ya maji kama baby wa Ushirombo
 
Last edited by a moderator:
mimi nina mchumba, tuko in relation for 2 years,jana usiku alikuja kwangu mimi kanikuta nafanya usafi wa chumbani,nikaiona novel ambayo niliipenda sana,nilipokua naiangalia its pages nikakuta niliandikaga maneno fulan ya kumsifu demu wangu wa zamani kama vile i love you so much dear,i will never hurt you, and so on,hayo maneno niliyaandika nikiwa bado hatujawa na relation na huyu,basi nikachukua pen nikawa nayafuta,yeye alipoona akanyakua kitabu akayasoma,from there akakasirika acha chanachana kitabu na kukitupia ndan ya ndoo ya maji,na akasema ameniacha,anaogopa eti kama niliweza kuwa na mtu nikamthamini kiasi kile then tumeachana,kumbe hata yeye tutaachana tu,so bora atimke mapema,Jaman nifanye nini? Na nilikua karibuni kutangaza ndoa,am so confused.Ushauri wenu plz

mkuu pole sana, muache atulie kwanza na yawezekanatanakupenda sana kias kwamba ana wivu kupitiliza! Kama mlikaribia kutangaza uchumba posbly kuna ndugu na jamaa zake wanaoeleweka na wanaokufahamu wewe. Subir baada ya hata wiki kama mambo yatakuwa bado uwashirikishe wamsihi abadili maamuzi. Usipanic brother ndo mahusiano hayo
 
Usijali. Mbembeleze na umhakikishie kuwa huyo alikuwa wa zamani na ndani ya wiki mbili atakuelewa tuu. Hujaachwa.
 
una makosa ma2
1. Kutunza sms za mapenzi za mpnz wa zamani,
2.kuifuta mbele yake,
Na kisaikolojia unaonekana unamahusiano na wasichana wengne japo mchumba wako unampenda na unampango nae.
Nakushauri
umuache hasira zikiisha baada ya wiki jaribu kumshirikisha mtu anaemuamini umuelezee na ukubali makosa niliokuambia na umhakikishie hayo ni ya zamani,
Kama ANAKUPENDA ATAKUSAMEHE
Pia huyo anaemuamini baada ya kukusamehe umuombe amuonye tabia ya hasira,kuharibu vitu na kususa sio nzuri.
USIFANYE KOSA LA KUMBEMBELEZABEMBELEZA kwa sasa, muongee baadae na huyo anaemuamini tu.
 
Mmmh hiyo noma sana..ila ajiamini..ila na watu ambao kitu kidogo hivyo wanakimbilia kuachana uwaangalie mara mbili mbili..!!!
 
mwombe tu samahani. kujishusha huwa kunasaidia kuokoa mahusiano.
 
Okay kama ni kweli basi asipanick...amwache huyu mchumba apoe kisha amweleweshe tena..kama aki insist basi ajue alikuwa anamtafutia sababu tu ya kumwacha hakuwa anampenda kivile...angekuwa mwelewa angeshaelewa toka mwanzoni.
Unajua wakati mwingine ni vizuri kuwa wazi kwa mchumba wako. Yaani inapendeza akijua mahusiano yaliyopita na ulikua deep kiasi gani. Hii kitu wengi hawapendi kuizungumzia lkn ni muhimu sana kwenye mahusiano. Nakumbuka enzi hizo za uchumba mwenzangu alinieleza kwa kina mahusiano yake yalliyopita. Hii Inasaidia hata kama kuna kitu cha zamani kitaonekana kwa mchumba mpya hapatahitaji maelezo mengi na ni rahisi kuelewa. Sasa huyu ndugu kuna sehemu alikosea yapasa afanye marekebisho .
 
Mmmh hiyo noma sana..ila ajiamini..ila na watu ambao kitu kidogo hivyo wanakimbilia kuachana uwaangalie mara mbili mbili..!!!
Ni kweli kuachana sio suluhisho la kila kitu halafu kwanini mtishiane kuachana , je hakuna namna nyingine ya kufikia muafaka isipokua ni kuachana tu. Hii haiko njema kwani inaonyesha kama vile bi dada anajiona kuwa yeye ni muhimu sana kwa huyu ndugu na bila uwepo wake basi maisha ya jamaa yatakua machungu. Wakati mwingine vijana ke/me wawe waangalifu hasa unapotafuta life partner ni muhimu sana kuangalia mambo ya msingi na si kuongozwa na macho . Yafaa uwepo uwiano sawa wa muonekano wa nje na wa ndani. Wengi hu-ignore red flags pindi zionekanapo.
 
Hahahaa! Haina hata ya kucomplicate kwa mambo kama haya mpe go ahead ili siku nyingne akome kujaribu kujamba wakat anaharisha......
Najua anakupima kama unampenda kweli

Mkuu umeshawahi kumpenda mtu ambaye hutaki kumpoteza katika maisha yako..
 
Back
Top Bottom