hahahaaaa! Umenichekesha sana .Hawa wadudu mie nakwambia sijui walitokea sayari gani.Halafu wote wanafanana,mwanzoni mnapoanza mahusiano ,wenzio wakilalamika matatizo yao,unaona wa kwako ni tofauti.ngoja muda ufike duh! hawa ni noma.Huwa wanafikira "in reverse order..."
!
!
marehemu hakosagi sababu ya kufa hata siku moja. Utasikia mara ugonjwa mara ajali mara hiki mara kile ila mwisho wa siku mradi imetolewa tu sababu ya kufa kwake. Kama ilikuwa umuoe utamuoa tu na kama ilikuwa kinyume basi ndio hivyo tena.......join team life goes on chukulia hilo tukio kama uzoefu mpya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.