Leo nilivyokwenda kupima UKIMWI!

Leo nilivyokwenda kupima UKIMWI!

Papa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
1,153
Reaction score
1,359
Kwanza ningependa kuwapa hongera watu wote walioamua kwenda kupima bila kujali majibu yalikuwaje. Kwa kweli kitendo cha kuamua kwenda kupima ni ujasiri wa hali. Mimi sikuwahi kuupata ujasiri huo mpaka mama alipotishia kuwa kama tusingeende kupima basi angesitisha huduma.

Sikuwa na jinsi ya kufanya, siku mbili hizi nimekuwa nawaza sana. Sasa leo nikasema ngoja nijipeleke mwenyewe kwanza. Ili nijue afya yangu kabla mama hajanipeleka kwa nguvu atakapogomea kutoa huduma.

Nikaenda hospitali. Nilipofika nikamwambia yule mhudumu. Nimekuja kupima kwa utashi na hiyari yangu mwenyewe. Najua kuna majibu ya aina mbili. Sitaki maelezo yoyote mengine naomba nipime. Jamaa akanielewa akanitoba akatoa damu. Sio siri nilitetemeka wakati nasubiri majibu. Nikasikia harufu ya kikwapa wakati asubuhi nilipaka deodorant. Dakika tano hizi nilikuwa kwenye hali ngumu sana.

Niliwaza mademu wote niliowahi kukutana nao. Baadae nikajipa moyo mbona kuna watu wanaishi na maambukizi. Mimi sitakuwa wa kwanza. Mhudumu akanistua. "Uko tayari kwa majibu yako". Hapo ndipo nilisikia harufu zaidi ya kikwapa. Midomo ikakauka. Nikajikamua. Nikamjibu "Ndio maana nimekuja kupima".

"Hauna HIV. HAUNA UKIMWI". Nikamuangalia. Nikashusha pumzi kwa nguvu. Nikamjibu. Asante sana. Nimetoka hapo nikajipongeza kwa Mirinda ya baridiiii.

Sasa nikirudi home. Nitamwambia wife, achague twende tupime wapi. Aseme mwenyewe. Nitajifanya sijapima. I hope na yeye atakuwa poa. Pengine amekwisha pima ndio maana kaanza figisu figusu. Nitawapa mrejesho.
 
Pia mara 3 ndio ulete majibu, unajifariji kwa jibu moja tuu aka mwenyewe unajiofia?
 
Kwanza ningependa kuwapa hongera watu wote walioamua kwenda kupima bila kujali majibu yalikuwaje. Kwa kweli kitendo cha kuamua kwenda kupima ni ujasiri wa hali. Mimi sikuwahi kuupata ujasiri huo mpaka mama alipotishia kuwa kama tusingeende kupima basi angesitisha huduma.

Sikua na jinsi ya kufanya, siku mbili hizi nimekuwa nawaza sana. Sasa leo nikasema ngoja nijipeleke mwenyewe kwanza. Ili nijue afya yangu kabla mamaa hajanipeleka kwa nguvu atakapogomea kutoa huduma.

Nikaenda hospitali. Nilipofika nikamwambia yule mhudumu. Nimekuja kupima kwa utashi na hiyari yangu mwenyewe. Najua kuna majibu ya aina mbili. Sitaki maelezo yoyote mengine naomba nipime. Jamaa akanielewa akanitoba akatoa damu. Sio siri nilitetemeka wakati nasubiri majibu. Nikasikia harufu ya kikwapa wakati asubuhi nilipaka deodorant. Dakika tano hizi nilikuwa kwenye hali ngumu sana.

Niliwaza mademu wote niliowahi kukutana nao. Baadae nikajipa moyo mbona kuna watu wanaishi na maambukizi. Mimi sitakuwa wa kwanza. Mhudumu akanistua. "Huko tayari kwa majibu yako". Hapo ndipo nilisikia harufu zaidi ya kikwapa. Midomo ikakauka. Nikajikamua. Nikamjibu "Ndio maana nimekuja kupima".

"Hauna HIV. HAUNA UKIMWI". Nikamuangalia. Nikashusha pumzi kwa nguvu. Nikamjibu. Asante sana. Nimetoka hapo nikajipongeza kwa Mirinda ya baridiiii.

Sasa nikirudi home. Nitamwambia wife, achague twende tupime wapi. Aseme mwenyewe. Nitajifanya sijapima. I hope na yeye atakuwa poa. Pengine amekwisha pima ndio maana kaanza figisu figusu. Nitawapa mrejesho.
Ungengoja miezi mitatu, we jidai una haraka ya kupima alafu ukaambiwe umeukwaa...

NB: Kupima ni shughuli pevu... Nikiona bango la angaza na njia nabalisha kabisa... Sitaki masihara mm...
 
Acha uoga wewe. Nenda kapime
 
Kwanza ningependa kuwapa hongera watu wote walioamua kwenda kupima bila kujali majibu yalikuwaje. Kwa kweli kitendo cha kuamua kwenda kupima ni ujasiri wa hali. Mimi sikuwahi kuupata ujasiri huo mpaka mama alipotishia kuwa kama tusingeende kupima basi angesitisha huduma.

Sikua na jinsi ya kufanya, siku mbili hizi nimekuwa nawaza sana. Sasa leo nikasema ngoja nijipeleke mwenyewe kwanza. Ili nijue afya yangu kabla mamaa hajanipeleka kwa nguvu atakapogomea kutoa huduma.

Nikaenda hospitali. Nilipofika nikamwambia yule mhudumu. Nimekuja kupima kwa utashi na hiyari yangu mwenyewe. Najua kuna majibu ya aina mbili. Sitaki maelezo yoyote mengine naomba nipime. Jamaa akanielewa akanitoba akatoa damu. Sio siri nilitetemeka wakati nasubiri majibu. Nikasikia harufu ya kikwapa wakati asubuhi nilipaka deodorant. Dakika tano hizi nilikuwa kwenye hali ngumu sana.

Niliwaza mademu wote niliowahi kukutana nao. Baadae nikajipa moyo mbona kuna watu wanaishi na maambukizi. Mimi sitakuwa wa kwanza. Mhudumu akanistua. "Huko tayari kwa majibu yako". Hapo ndipo nilisikia harufu zaidi ya kikwapa. Midomo ikakauka. Nikajikamua. Nikamjibu "Ndio maana nimekuja kupima".

"Hauna HIV. HAUNA UKIMWI". Nikamuangalia. Nikashusha pumzi kwa nguvu. Nikamjibu. Asante sana. Nimetoka hapo nikajipongeza kwa Mirinda ya baridiiii.

Sasa nikirudi home. Nitamwambia wife, achague twende tupime wapi. Aseme mwenyewe. Nitajifanya sijapima. I hope na yeye atakuwa poa. Pengine amekwisha pima ndio maana kaanza figisu figusu. Nitawapa mrejesho.
Mkuu kipimo ni robo saa kusubiri ww cha dk 5 ulikipata wapi?
 
Mkuu,kuna majibu aina tatu
1. Una maambukizi ya VVU
2. Hauna maambukizi ya vvu
3. Majibu tata (utatakiwa kurudia kupima baada ya muda utakao ambiwa)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom