Leo ni sikukuu ya kugegedana?

Leo ni sikukuu ya kugegedana?

PersonaLLY
UbwabwaticaLLY
i see what u do
Tena na kachumbaLLY get me want its Umepikwa mbaLLY so giv 2 me give 2 me
VinywajivicaLLY
BiaticaLLY
KonyagicaLLY
u gave me waLLY na
ChuzizitocaLLY
PilipilicaLLY
Maaazaaagaa FulnyamaticaLLY naahaaaaaa..! Wixh u a merrytically Christmascally njematically...zaaagaaaaa

COPY AND PASTE TOKA KWA MPWA WANGU....
 
Nipo hapa mtaa wa kati nafanya utafiti binafsi. Asilimia kubwa ya watu, hasa vijana na watu wa umri wa kati, wapo wawiliwawili (bond) na wanaonekana wapo kimahaba zaidi.

Nimepita mitaani, kwenye baa, groceries, na maeneo mengine ya kujipumzisha hali ni hiyohiyo. Kilichonitisha zaidi ni pale nilipopita kwenye guest houses zilizopo maeneo haya kuanzia mishale ya saa 7 adhuhuri na kukutana na maandishi: 'VYUMBA VIMEJAA!'. Nimefanya utafiti kwenye nyumba zipatazo 8, zijapata hata chumba kimoja cha wageni kilicho wazi! Yaani haya ni maasi ndugu zangu.

Inakuaje sikukuu hii ya kimungu inageuzwa kuwa ya kipagani kihivyo? Kama hii sio laana ni nini? Baa nazo zimejaa hakuna pa kutema mate. Ni kama vile watu walikuwa wanaisubiri siku hii kwa hamu ili wapate kulewa na kuzini.

Tujifunze kumuogopa Mungu ndugu zangu. Na tuepuke miadi yoyote ya kingono kwenye siku hii takatifu. Naona watu wa Mungu wanaangamia sio tu kwa kukosa maarifa lakini pia kwa kujitakia wenyewe.

Nawatakia krismas njema. Mungu awabariki

Sasa ndiyo ulie mkuu? Nimecheka sana nilipoangalia avatar yako!
 
mkuu upo sinza ipi maana kutoka shekilango hadi bamaga gesti zote nasikia zimejaa...
 
Tatizo watu hawajui kuwa ni birthday yaYESU NA SIO YAO......wanahitaji kuombewa sana.
 
nilikuwa nishatoka hospitali mkuu, tena niliyoyakuta huko hospitali siwezi hata kuyasimulia--yaani kinamama waliojifungua wanalalishwa kwenye sakafu eti!

kama umefanya hivyo ni vyema, inasikitisha hali iliyopo mahospitalini mwetu
 
ni wa hapahapa mtaani. kwenye vitabu vya wageni mtu anasaini anatokea kinondoni na anakwenda kinondoni--mgeni gani huyo?

ha ha ha mkuu kweli uliamua hadi kucheki kwenye kitabu.....
 
Back
Top Bottom