Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,825
Reaction score
16,903
NINA MSHUKURU MUNGU SANA KWA KUFIKA MIAKA KAZAA

ILA NINA MAFUA SANA MPAKA NAHIS HOMA

Kiranga niitie Mzizimkavu

nahitaji nipone haraka niombeeni
mambo yangu hayaendi maana mimi ndo stelingi yaani
 
Waooooo hongeraa
Jifunze kumention kama hiviu, masai dada
 
Last edited by a moderator:
Sasa kila mtu siku yake yakuzaliwa ikifika akianzisha uzi si tutaishia kujaza server za JF bure.Wakuu hebu tuzionee huruma server za JF Kwa kuanzisha maada muhimu na zenye tija
 
Sasa kila mtu siku yake yakuzaliwa ikifika akianzisha uzi si tutaishia kujaza server za JF bure.Wakuu hebu tuzionee huruma server za JF Kwa kuanzisha maada muhimu na zenye tija

NDO MAANA ULIKOSA MCHUMBA
unajua why nimeanzisha read between the lines

ALAFU PUNGUZA UBAHILI SERVER YA JAMII FORUM NI YAKO????????

punguza mahaba
 
Hongera sana kwa hiyo miaka kadhaa yako:amen::amen::amen::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
CC: Invisible itabidi watu wawewanawekw na umri ilituwapongeze vizuri
Nilisikia eti John Komba kazaliwa
1978
 
Happy birthday masai dada
Live up to your expectations
 
Last edited by a moderator:
Waooo...epi besdei mamii! Mungu akubariki uishi kuona watoto wa wajukuu zako!
 
Hongera sana kwa hiyo miaka kadhaa yako:amen::amen::amen::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
CC: Invisible itabidi watu wawewanawekw na umri ilituwapongeze vizuri
Nilisikia eti John Komba kazaliwa
1978

asante sana looh yule kama kiumbe cha zamani sana na mwenzake wassira wale sio watu wa B.C
 
Sasa kila mtu siku yake yakuzaliwa ikifika akianzisha uzi si tutaishia kujaza server za JF bure.Wakuu hebu tuzionee huruma server za JF Kwa kuanzisha maada muhimu na zenye tija

Una share na mwenye jamiii???????????????
 
NINA MSHUKURU MU GU SANA KWA KUFIKA MIAKA KAZAA

ILA NINA MAFUA SANA MPAKA NAHIS HOMA

Kiranga niitie Mzizimkavu

nahitaji nipone haraka niombeeni
mambo yangu hayaendi maana mimi ndo stelingi yaani

Leo siyo siku yako ya kuzaliwa, leo unasherehekea tarehe yako ya kuzaliwa. Ulizaliwa "miaka kadhaa iliyopita". Na siku hiyo kama leo sidhani kama pia ilikuwa Jumapili.

Seherehe ya "siku" yako kuzaliwa inakuja kila wiki na "tarehe" na "mwezi" inayofanana na ulipozaliwa ndiyo inakuja kila mwaka kwa wengi, na kwa wengine wachache huwa ni mara moja kila miaka minne.

Happy Birth Date.
 
hahahahahaha masaidada ndo umeniingiza chaka eeeeeh thanks
 
Sasa kila mtu siku yake yakuzaliwa ikifika akianzisha uzi si tutaishia kujaza server za JF bure.Wakuu hebu tuzionee huruma server za JF Kwa kuanzisha maada muhimu na zenye tija

hahahahaha sayansi anzisha wewe zenye tija lol
 
Back
Top Bottom