leo ni siku yangu ya kuzaliwa

leo ni siku yangu ya kuzaliwa

Edwin Chapa

Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
54
Reaction score
12
Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kuniweka mpka leo hii na kutimiza umri nilioufikia,wapo wengi wao hawajafikia umri wangu,Pili nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea,kunisomesha na kufikia hapa nilipofka,mwisho ni kwa ndugu,jamaa na marafiki kwa ukarimu wenu kuwa nami tokea nazaliwa mpka sasa,Nawapenda wote...
 
Häppý bìrtHdäý Edwìn ÇhApA!
 
we mtoto una adabu kwelikweli, umezaliwa na kuanza kushukuru! Mungu akujalie maisha marefu
 
Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kuniweka mpka leo hii na kutimiza umri nilioufikia,wapo wengi wao hawajafikia umri wangu,Pili nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea,kunisomesha na kufikia hapa nilipofka,mwisho ni kwa ndugu,jamaa na marafiki kwa ukarimu wenu kuwa nami tokea nazaliwa mpka sasa,Nawapenda wote...

Kwa umri ulionao lazima kuna waliokukosea na kukukwaza mbona umewabagua? Huna kitu cha kuwaambia katika siku kama hii ya leo
 
Happy birthday edwin. Ukikojoa ulie nije nikubadilishe nepi.
 
Hongera kwa kuzaliwa upya mkuu. NiPM kwa zawadi ya Diapers
 
Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kuniweka mpka leo hii na kutimiza umri nilioufikia,wapo wengi wao hawajafikia umri wangu,Pili nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea,kunisomesha na kufikia hapa nilipofka,mwisho ni kwa ndugu,jamaa na marafiki kwa ukarimu wenu kuwa nami tokea nazaliwa mpka sasa,Nawapenda wote...

so what?!
 
haaapy baaaaathday tuuuyuu*3 haaapy baathday a dia eedwin epi bathdai tuuuuyuuuuuuuuuuuuuu kata keki tuleeeeee
 
Back
Top Bottom