Leo ni siku ya wa baba duniani

Baba watano min -me happy fathers day.

Half american wewe bado uzinzi haujakulipa, hivyo subiri.

Mpaji Mungu mishangazi mayai yameshaisha, hivyo utasubiri sana.
๐Ÿ˜Mishangazi tuachane nayo!!!

Leo naona watu wengi wamepost wazee wao nikajaribu kuvuta kumbu kumbu zangu za udogoni....wakati naanza shule mi nlikuwa napelekwa na baba siyo mama, kwa vile vijiji vilivyokua structured kijamaa shule ya msingi ndo ilikua inaamua mambo mengi maana wanashika eneo kubwa baadae hospital, shule ya secondary na kijiwe vinakua around eneo hilo. Kila siku asubuhi nlikuwa naenda shule na mzee tukifika ananiacha shuleni yy anaenda anakofanyia kazi maana siyo mbali

Mungu awape maisha marefu wazee wetu walipigana na mengi kimya kimya
 
Wow! Beatiful memories๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Nawe upunguze kuzurura sasa!
 
Step fathers are now struggling with school fees and child support while baby daddies are apparently at local joints ordering for more Nyama-Choma and Alcohol.๐Ÿฅบ๐Ÿคฃ๐ŸคฃView attachment 3369713View attachment 3369714
Na wakifanikiwa wanawarudia kwa kasi baba zao wa damu na wewe unatafutiwa udhaifu wako wowote unakuzwa kwa kipimo cha promax.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ