Leo ni siku ya wa baba duniani

Leo ni siku ya wa baba duniani

Baba watano min -me happy fathers day.

Half american wewe bado uzinzi haujakulipa, hivyo subiri.

Mpaji Mungu mishangazi mayai yameshaisha, hivyo utasubiri sana.
😁Mishangazi tuachane nayo!!!

Leo naona watu wengi wamepost wazee wao nikajaribu kuvuta kumbu kumbu zangu za udogoni....wakati naanza shule mi nlikuwa napelekwa na baba siyo mama, kwa vile vijiji vilivyokua structured kijamaa shule ya msingi ndo ilikua inaamua mambo mengi maana wanashika eneo kubwa baadae hospital, shule ya secondary na kijiwe vinakua around eneo hilo. Kila siku asubuhi nlikuwa naenda shule na mzee tukifika ananiacha shuleni yy anaenda anakofanyia kazi maana siyo mbali

Mungu awape maisha marefu wazee wetu walipigana na mengi kimya kimya
 
Wow! Beatiful memories😍😍😍

Nawe upunguze kuzurura sasa!
 
Back
Top Bottom