Fanya umuachie ka Juniour babu....Happy daddie day!!
Thanks to Jah, kwa kunipa baba wee, nawaza kila siku je usingekua wee ni baba angu, nani angeweza kuvaa viatu vyako?
Wee sio tyuh baba, ni zaidi ya chochote kwangu, nashukuru kwa kila kitu ufanyacho juu yangu, malipo siwezi na sina. Ila najitahidi kadri ya uwezo wangu ili nawee ufurahie uwepo wangu kwako km mwanao.
Baba! Baba! Baba! Nakupenda mnoo, nawee unajua, nashukuru ktk wanao wote, mie ndo umeniamini na sijawahi kukuangusha km unavyoniambiaga, hili ndo linanifanya nidevelekee hapa uraiani.
.
Sema nn, ishi sanaa mshua, natamani nianze mie kuondoka hapa duniani kabla yako, wee ndo mtetezi na kimbilio langu.
Baba ninae na natamba nae, 💖❤️🙏🙏
Nyie mnawatoaga akina nani? Mtakula jeuri yenu!Kwahiyo tujiandae kutolewa out au sio.....
Atakaona kajukuu kake, Jah asababishe iwe hivyoo. 🙏🙏Fanya umuachie ka Juniour babu....
Kwa niaba ya malkia wa nguvu wenzangu, tunaomba mtutoe out, tunawaomba jamani 😁Nyie mnawatoaga akina nani? Mtakula jeuri yenu!
Juzi hapa si mlikuwa na women's day na kabla ya hapo si mlikuwa na mother's day? Mlivyotukazia mlifikri tulifurahi?Kwa niaba ya malkia wa nguvu wenzangu, tunaomba mtutoe out, tunawaomba jamani 😁
Mambo ya kipumbavu ya mabeberu kutufarakanisha waafrica15 June.. Remember this date..
Hatujakumbukwa.. Basi nasi tusijisahau..Raha jipakulie mwenyewe hutajipunja
Una lolote la kumwambia baba yako? Liweke hapa kama kumbukumbu ya siku yake duniani
Sherehekea akina baba, babu, baba wa kambo na kumbukumbu za baba leo Juni 15 kwa matakwa makuu ya moyo💗💗💗. Heshimu na tambua upendo, mwongozo, dhabihu na michango ya akina baba katika siku hii kuuView attachment 3369347
Mimi nashukuru Mungu nimeshautua mzigo na dogo amepata ajira ya ndoto yake! Sasa nasajiriwa kwenye Bima ya afya na aliyekimbia ka dogo atajijua mwenyewe huko aliko! Ila kiongozi haya madikodiko siyo mchezo nimemwona kambale hapo wa uhakika!Step fathers are now struggling with school fees and child support while baby daddies are apparently at local joints ordering for more Nyama-Choma and Alcohol.🥺🤣🤣View attachment 3369713View attachment 3369714