Leo ni siku ya wa baba duniani

Leo ni siku ya wa baba duniani

Mzee wangu Leo popote ulipo kubabako FAZA fara wewe
 
Wacha Niseme Kidogo Siku ya Wababa Duniani
_________________________

1. Leo ni siku ya wababa Duniani. Siyo siku maarufu sana kama siku ya Wanawake Duniani. Unajua kwa nini? Baba ni maarufu katika ubaya, mama ni maarufu katika wema.

2. Siyo kwamba baba hana wema na wala siyo kwamba mama hana ubaya. Hapana! Kila binadamu ana vyote; ubaya na wema isipokuwa, ubaya wa baba unajulikana sana kwa sababu mama anapenda kuusimulia na ubaya wa mama haujulikani kwa sababu baba anapenda kuuficha.

3. Yawezekana kabisa na wewe hapo haupatani na baba yako kwa sababu mama alikusimulia ushenzi wa baba yako. Unamind sana dingi. Msamehe bure baba yako kwa sababu hakuna mkamilifu duniani.

4. Mfungue baba yako moyoni kisha mgonge hata kijizawadi cha kushitukiza popote alipo. Na kama aliishatangulia mbele ya haki, nenda katoe sadaka kanisani, msikitini, kwa wajane au watoto yatima kisha muombee!

5. Akina baba wanapitia mengi magumu, sema hawana pa kuyasemea, dunia imewapa mgongo, dunia imewasahau, wamebaki kujifia! Kila mtu anasubiri kula hela ya baba. Akiishakula anamsahau baba.

happy farther 's day!!
 
15 June.. Remember this date..
Hatujakumbukwa.. Basi nasi tusijisahau..Raha jipakulie mwenyewe hutajipunja

Una lolote la kumwambia baba yako? Liweke hapa kama kumbukumbu ya siku yake duniani

Sherehekea akina baba, babu, baba wa kambo na kumbukumbu za baba leo Juni 15 kwa matakwa makuu ya moyo💗💗💗. Heshimu na tambua upendo, mwongozo, dhabihu na michango ya akina baba katika siku hii kuuView attachment 3369347
Ahsante Mshana Jr
 
Wacha Niseme Kidogo Siku ya Wababa Duniani
_________________________

1. Leo ni siku ya wababa Duniani. Siyo siku maarufu sana kama siku ya Wanawake Duniani. Unajua kwa nini? Baba ni maarufu katika ubaya, mama ni maarufu katika wema.

2. Siyo kwamba baba hana wema na wala siyo kwamba mama hana ubaya. Hapana! Kila binadamu ana vyote; ubaya na wema isipokuwa, ubaya wa baba unajulikana sana kwa sababu mama anapenda kuusimulia na ubaya wa mama haujulikani kwa sababu baba anapenda kuuficha.

3. Yawezekana kabisa na wewe hapo haupatani na baba yako kwa sababu mama alikusimulia ushenzi wa baba yako. Unamind sana dingi. Msamehe bure baba yako kwa sababu hakuna mkamilifu duniani.

4. Mfungue baba yako moyoni kisha mgonge hata kijizawadi cha kushitukiza popote alipo. Na kama aliishatangulia mbele ya haki, nenda katoe sadaka kanisani, msikitini, kwa wajane au watoto yatima kisha muombee!

5. Akina baba wanapitia mengi magumu, sema hawana pa kuyasemea, dunia imewapa mgongo, dunia imewasahau, wamebaki kujifia! Kila mtu anasubiri kula hela ya baba. Akiishakula anamsahau baba.

happy farther 's day!!
Hivi unafikiri hata watoto huwa wanasimuliwa!!! Si wanayashuhudia wenyewe wakikua. Ifike mahali muache kuwapa kina mama hizi lawama na kuwafanya watoto viziwi na vipofu. Let's be responsible for our mistakes.
 
When shopping for the family, don't forget to shop for yourself.

Happy Father's Day
CC: Ndesalee
IMG-20250615-WA0042.jpg
 
Mbona imeshitukiziwa kama siku ya kuchinja?
 
Back
Top Bottom