Uume wangu umekuwa wa baridi baada ya kutaka kumkimbia mpenzi wangu wa 16

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Ndugu zangu kwa masikitiko sana..

Nasikitika kuwaambia nilipanga kumtelekeza huyu mwanamke ila ghafla sana uume wangu nahisi umekuwa wa baridi na nyoro nyoro, ndugu hisia zimepotea hakika niwapo na mwanamke mwingine tofauti na yeye misuli haikamati kabisa.

Wakuu network hazikamati, baridi kali ila uume umekuwa nyoronyoro ghafla, natamani kudinya nje huyu nimemchoka ila ndiyo hivyo na aibika wakuu, sijui huyu mwanamke kaniwekea nini ndugu zangu.

Mbaya zaidi niwapo na yeye uume unakua active sana ila nikipanga kumtoroka tuu unapoa hakika, mimi nimemchoka nataka kumkimbia ila kila nafsi ya kumkimbia ikiniingia basi network zinapotea haraka naishia kuaibika ndugu zangu.

Nisaidieni hichi kifungo ni kikuu kwangu. Na mtokaje huyu kwa usalama wa uume wangu wakuu.
 
9fa536fd45ad424c45a450923e7263e9.jpg
 
Huku ushapavuka mkuu
Miaka 11-17 ni umri wa makuzi na matamanio (haudumu).

Now upo hapa.. Focus
Miaka 18-25 ni umri wa ndoto kubwa za nia njema na matarajio makubwa (mfano; ndoto za kuwa bosi fulani hivi, higher position, kumiliki mambo makubwa n.k)
 
Ndugu zangu kwa masikitiko sana..

Nasikitika kuwaambia nilipanga kumtelekeza huyu mwanamke ila ghafla sana uume wangu nahisi umekuwa wa baridi na nyoro nyoro, ndugu hisia zimepotea hakika niwapo na mwanamke mwingine tofauti na yeye misuli haikamati kabisa.

Wakuu network hazikamati, baridi kali ila uume umekuwa nyoronyoro ghafla, natamani kudinya nje huyu nimemchoka ila ndiyo hivyo na aibika wakuu, sijui huyu mwanamke kaniwekea nini ndugu zangu.

Mbaya zaidi niwapo na yeye uume unakua active sana ila nikipanga kumtoroka tuu unapoa hakika, mimi nimemchoka nataka kumkimbia ila kila nafsi ya kumkimbia ikiniingia basi network zinapotea haraka naishia kuaibika ndugu zangu.

Nisaidieni hichi kifungo ni kikuu kwangu. Na mtokaje huyu kwa usalama wa uume wangu wakuu.
 
Attachments

  • FB_IMG_1698733869001.jpg
    FB_IMG_1698733869001.jpg
    83.8 KB · Views: 3
Mimi huhisi hzi ni fake IDs mods 😂 kwasababu ni kwa vipi mtu anapata msukumo wa kuandika pumba na chai kila siku ikiwa hafaidiki na lolote?

Nimetoa tuhuma nikiitwa kujieleza sijui nani atanisindikiza 🤣
ntakuescort mimi hapa..alafu majority ni wanaume...hukuti ke anaandika masega hivi.

inakera balaa
 
Back
Top Bottom