Nimepata mpenzi mpya, Ex wangu kwa heri

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Ndugu wana jf, baby wangu mpya ananipa changamoto sana ila anafanya na tumia akili kubwa sana,

Sihitaji hasira wala kuchukia chukia japo wakati mwingine akiwa anakonyeza konyeza najikuta moyo unawaka kama umewekewa pasi.

Ndugu sasa maomivu ya mapenzi bye bye... Napendwa na ninapendeka.

Karibuni nyote huku kwenye penzi jipya ila usipo kua makini unaweza ukafa kwa msongo wa mawazo na mshtuko wa moyo,

Sifundishi unasoma mwenyewe kitabu , unaingia youtube na kucheza na news pia.

Hapa ni MOVING AVERAGE INA CONTROAL MAHUSIANO YANGU MAPYA karibuni sana.

Najua huyu demu wangu wa sasa ni rahisi kuniua ila nacintroal sana emotion .

Nb. Kama una matatizo ya moyo na presha sikushauri uingie kwenye haya mahusiano

ONYO : USIHONGE HELA YA KULA, ADA AU KODI KWENYE KWA HUYU MPENZI MPYA. KAMA UNAHELA ZA MAWAZO SIKURUHUSU UMTONGOZE
Screenshot_20231113-130037.jpg
View attachment 12 Simple Technical Indicators (2007).pdf
 
Ndugu wana jf, baby wangu mpya ananipa changamoto sana ila anafanya na tumia akili kubwa sana,

Sihitaji hasira wala kuchukia chukia japo wakati mwingine akiwa anakonyeza konyeza najikuta moyo unawaka kama umewekewa pasi.

Ndugu sasa maomivu ya mapenzi bye bye... Napendwa na ninapendeka.

Karibuni nyote huku kwenye penzi jipya ila usipo kua makini unaweza ukafa kwa msongo wa mawazo na mshtuko wa moyo,

Sifundishi unasoma mwenyewe kitabu , unaingia youtube na kucheza na news pia.

Hapa ni MOVING AVERAGE INA CONTROAL MAHUSIANO YANGU MAPYA karibuni sana.

Najua huyu demu wangu wa sasa ni rahisi kuniua ila nacintroal sana emotion .

Nb. Kama una matatizo ya moyo na presha sikushauri uingie kwenye haya mahusiano

ONYO : USIHONGE HELA YA KULA, ADA AU KODI KWENYE KWA HUYU MPENZI MPYA. KAMA UNAHELA ZA MAWAZO SIKURUHUSU UMTONGOZE View attachment 2812593View attachment 2812594
Mapenzi yatakuuwa m bwa wewe oa
 
Mapenzi yatakuuwa m bwa wewe oa
Napata wapi ujasiri wa kuoa pasua kichwa na wakati mpenzi wangu ananipa raha huku.?

KATAA NDOA, TUNZA KIBUNDA NDOA NI UJINGA UJINGA, NJOO HUKU TUCHOME NA KUVUNA MIHELA TUITWE MA FREEMASON.

wanawake waachie wenyewe.

Sihauri kama una presha au matatizo ya moyo maana kifo ni nje nje
 
Ngoja waendelee kukusumbua unakaa unamuwaza mtu akufikirii
Mimi nishatoka uko now naenjoy life
 
Back
Top Bottom