Leo ni siku ya 5 Kingolwira Morogoro hatuna umeme

Ruyama

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
367
561
Hatujapewa taarifa nini shida, yaani samaki kwenye friji tumekaanga wote.

Saluni na wachomelea vyumaamaa kweli Magufuli tutakukumbuka

TANESCO
 
Wapinzani walituchelewesha sana ndugu zangu...

Huyo magufol mwenyewe ndio mwasisi wa matatizo yanayoibuka kipindi hiki
 
Hatujapewa taarifa nini shida,yaani samaki kwenye friji tumekaanga wote.
Saluni na wachomelea vyumaamaa kweli Magufuli tutakukumbuka
Hebu nenda pale Tanesco uwaeleze hilo tatizo. Watakuwa hawajapata taarifa.
 
Back
Top Bottom