Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Anaolewa au wanacheza video ya wimbo?
Anaolewaje nyumbani kwa diamond?
Mwanamke wa kiislam najua ndoa ni kwao,
Wazazi ndugu wapo wapi
WAPAMBANE TUU NA HALI ZAO HAMNA KIKI HAPA.
BTW hata akiolewa kuna mke wa 2 wa 3 hadi wa 4 labda ajivunie kuwa bi mkubwa
Aisee


