Leo Ni Mwisho Wa Mwezi

Leo Ni Mwisho Wa Mwezi

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Posts
23,263
Reaction score
17,140
Hongera Watanzania wote hasa Boflo @sosoliso MziziMkavu Invisible na ndugu yangu @maxencemello mungu kupe majaaliwa!

923108_528233080574797_1528152263_n.jpg
 
tusubiri na hotuba ya ankal wa taifa....................

0.jpg
 
hela yenyewe tulishakula zamani
tunatumika kama manamba tu.
 
'nadhani atakuwa amerudi au labda yuko njiani kwa mana si ndio mzikaji mkuu huyu anayewazika wasanii wenzake na mwenzake kafa itaweje akae huko for so long mazishi yatafana kweli...?'
 
Na mimi nawatakia Happy end of May 31/ 2013!
425051_4187735453518_892177898_n.jpg
 
kumbe alikuwa huko?!?! sina khabari yakheee.........alisharudi kutoka kule alikoend akuomba walimu jamaica??
Ha ha ha ile alikuwa anataka kupata sifa tu na alikwisharudi,unaendaje kuomba walimu Jamaica wakati walimu wengi tu wapo mitaani hawana kazi?Hao walimu wanakuja kufundisha wanafunzi wetu wa shule hizi za kata ambazo mtoto hadi anafika darasa la saba hajui hata kuandika jina lake?Ngoja tuone kama karudi maana inawezekana kaunganisha safari juu kwa juu
 
Back
Top Bottom