Leo Ni Mwaka Mmoja Baada Ya Kifo Cha John Komba

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,390
2,974
Leo Ni Mwaka Mmoja Sasa Umepita Tangu Captain John Damian Komba Ulipotutoka Ghafla Jioni Ya Mwaka Jana.

Hakika Tunakukumbuka Sana Komredi Hasa Kwa Vibao Vyako Murua Na Vya Kusisimua Na Hasa Kibao Chako cha Mwisho Ambacho Kilinoga Sana Kwenye Uchaguzi Mkuu " Acha Waisome Namba " Hakika Jina Lako Litaendelea Kuishi Ila Pengo Lango Halitazibika Kabisa.

Pumzika Kwa Amani Komredi. Mdau Wa Jf Unamkumbuka John Komba Kwa Lipi?
 
Aliposema mzee warioba amezeeka ndiyo maana ameandaa katiba ya Serikali tatu na akatishia kwenda msituni kwa ajili ya vita endapo Serikali tatu zingepita, lakini Mungu hakumpa muda zaidi.
 
Back
Top Bottom