mzenjiboy
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 907
- 383
Watanganyika na wa Zanzibar leo wanakamilisha miaka 57 ya muungano, hapa ningepaswa kusema ‘wanasherehekea miaka 57’ lakini sisemi hivyo kwa vile hakuna la kusherehekea katika muungano huo.
Muungano wetu ni wa nguvu na wa kibabe yaani mukiutaka upo na msipoutaka pia utakuwepo. Na hii ni pale kila Rais ajae hula kiapo cha “kuulinda kwa nguvu zote”. Muungano huu umekosa ushawishi wa kuvutia nchi nyengine kujiunga nao.
Baada ya miaka 57 bado kuna migogoro na kero zisokwisha ndani ya muungano moja wapo kodi wanazotozwa wa Zanzibar wanapokwenda Tanganyika na bidhaa.
Kulikuwa na muungano wa Senegambia pia ulikuwepo wa USSR tulikuwa na Maalim Seif na Makufuli hivyo vyote Mungu kaondoa kwa uwezo wake na huu wa Tanganyika na Zanzibar time will tell.