Leo ni mara ya mwisho kuchati humu jf

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,464
25,379
Leo ndio mara yangu ya mwisho kuchati humu jf nitakuwa naingia mara moja moja sana kusoma mada mbaalimbali niambie neno lolote lile unalojiskia kwa mara ya mwisho

Na wale wapenzi wangu namba zangu mnazo tutakuwa tunachati whatsup .
 
kuna project naifanya mkuu sitakiwi niharibu kazi so nikiendelea kubaki humu nitaharibu kazi kwa kuwa nina ulevi na jf
Ahaa!!

Kumbe ila hata mimi ninaulevi na huu mtandano wa Jf kwa kwa kweli.

Yaani nisipoingia humu naweza kuwa mpweke sana siku hiyo.
 
Leo ndio mara yangu ya mwisho kuchati humu jf nitakuwa naingia mara moja moja sana kusoma mada mbaalimbali niambie neno lolote lile unalojiskia kwa mara ya mwisho

Na wale wapenzi wangu namba zangu mnazo tutakuwa tunachati whatsup .

Ninavyojua siku zote Bahari huwa haikai na Uchafu.
 
Ungeondoka Kimya kimya tu, pengine moja Kati ya wapenzi wako angekuja kuanzisha UZI humu kwamba kakumiss,project njema
 
Back
Top Bottom