Leo ni Ijumaa Tuwe makini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo ni Ijumaa Tuwe makini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tanzania Mpya, Oct 19, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Tanzania Mpya

  Tanzania Mpya JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Asubuhi ya leo nilipompeleka mtoto wangu kupanda school bus, tutakuta kituo chao cheupe lakini dereva wao akasema amepigiwa simu na wazazi wa watoto wengi anaowachukua kwamba yeye aende tu kwani leo ni Ijumaa, hawataruhusu watoto wao waende shule!

  Sasa jamani, Ijumaa washaiharibu wenzetu, watu hawaiamini tena siku hii. Serikali ifanye jitihada kuirejesha siku hii iaminike kwa wa-tz. La sivyo, itaathiri mambo mengi sana ya kijamii si elimu tu kwa watoto wetu, bali hata uzalishaji mali na usalama wetu sote.
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,812
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Vipi mnakusanyika wapi baada ya alasiri
   
 3. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,744
  Likes Received: 1,260
  Trophy Points: 280
  1. Huko Zanzibar uamsho wameipa serikali saa 24 kumwachia shehe Farid la sivyo makanisa yatachomwa na maaskofu na wachungaji watauawa! - Source BBC saa 1 jioni jana.
  2. Zanzibar: Waislam kufanya msako kila mahali na hasa katika vituo vya polisi na vyombo vingine vya ulinzi na usalama ili kumkomboa shehe Farid.
  3. Dar es Salaam: maandamano makubwa kufanyika kuelekea Central police ili kumkomboa shehe Ponda na wenzake.
  4. Waislam nchi nzima kuhimizwa kutoa michango ya hali na mali ili kuhakikisha familia za shehe Ponda na wenzake haziathiriki kwa kutokuwepo pamoja nao.

  ANGALIZO: Watu wote hakikisheni hamko mbali na makazi yenu kwani hali ya usafiri itakuwa ngumu kwa kukosekana daladala na vizuizi kuwekwa barabarani, kuchomwa moto matairi nk.
   
 4. J

  John W. Mlacha Verified User

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  wameshaanza
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,834
  Likes Received: 591
  Trophy Points: 280
  هذه العائلات هي مسلم يصبح رئيسا للجلد انه سوف علينا أن نفكر أننا جميعا فالا. وهذا أي ما تبقى من ثلاث سنوات نأسف يتعرف عليها، ولكن شيء واحد أنا متأكد من أنها ... لا الفشل.
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,078
  Likes Received: 1,537
  Trophy Points: 280
  Angalizo ndugu zanguni kuna kila dalili ya hawa waislam baada ya swala ya Ijumaa kuanzisha vurugu lakini tunawashukuru Jeshi la Polisi wamejipanga vyakutosha hivyo mnaombwa wale watakao kuwa maeneo na jirani na misikiti kuchukua hatua za tahadhari!!!
  Nawaasa waislamu hakuna kitu kibaya kama kutafuta amani hivyo ni bora kutunza amani tuliyonayo!!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...