Leo ni Idd El Fitr Dunia nzima isipokuwa Tanzania

mufti akasema haujaandama hata comoro.

Sasa mufti kusema haujaandama comoro kwani sisi tunaabudu wacomoro mpaka mufti aseme comoro kama reference ?
Mkuu ningependa kujua Kutokana na source yako mwezi umeandama wapi?

Ujue pale tandika kwa kishki leo asubuhi kuna watu wamekosa space?

Sasa sijajua kishki anatumia sheria gani ambayo inatofautiana na huyu mufti mkuu aliyedai hakuna eid?
 
Nakuomba uosome Uislam uislam huwa hauna mipaka ya kijiografia uislam ni wa kiulimwengu hivyo ndivyo alivyo uacha mtume wetu Mohammad s.a.w
Halafu haina haja ya kuingia ktk malumbano ya kielimu kama huna elimu ya dini
Kwa hiyo wanao amini tofauti mtakavyo nyie hawajasoma?
Nyie ndo vizazi vya ibilisi mnajifanya waislama ili muwatoe kwenye dini mdogomdogo.
Huo mwezi wakukosa kuchomoza nchi jirani zinazo kuzunguka kuna haja gani kuulazimisha?

Mtume alisema Dunia itakua kiganjani alijisahau vipi kusema tutafunga kwa mwezi mmoja ulimwengu wote?
 
LEO TUNAUANGALIA BILA SHIDA UTAKUA NI WENYE KUONEKANA HAKUNA KUPATA TABU KATIKA VITU VYA WAZI KAMA HIVI.

IBILISI KAZI YAKE NI KUWATOA WATU WALIO KATIKA HAKI.
 
Hata Wakristo Sherehe ya Pasaka huwa inategemea Mwezi japo wao wamewekeza kwenye sayansi wanajua exactly siku utaandama.
Wamewekeza kwenye sayansi lakini bado wana Chrismas mbili.Hujui kwamba Orthodox Christians wanasherekea X-MAS tarehe 6 au 7 Januari?
 
Uganda kimeliwa kitu.pilau hapa we acha.tu♪☆\(^0^\) ♪(/^-^)/♪☆\(^0^\) ♪(/^-^)/☆
 
lakini leo ni funga ya 29 labda kama ni Answar sunni walioanza mfungo siku 1 kabla, 30 zinatimia leo au? so hata kama mwezi bado leo ndo 30 sasa kwanini watu wafungulie?..............kilamtu ashinde mechi zake anayeangalia mwezi wa Mwarabau,anayehesabu vyungu vyake 30 vitimie jinsi alivyoanza na au asubiri mwezi uandame kwa eneo husika aliliopo PERIOD
 
Mtume alisema Dunia itakua kiganjani alijisahau vipi kusema tutafunga kwa mwezi mmoja ulimwengu wote?
Usifike kwenye ulimwengu huko mbali.

Mtume alijisahau vipi kusema tufunge kwa mwezi mmoja Nchi nzima ?

Unadhani mtume isema tufunge kwa mwezi mmoja Nchi nzima ?

kama hakusema kwa nini leo mufti anaweza kutangaza tufungue kwa mwezi wa kigoma ilhali yeye yupo dar kisa tu ni nchi moja ?

Kama alisema unaweza kunionesha waoi alisema hayo maneno?

Asante.
 
watanzania hawaabudu waarabu hawaangalii mwezi wa mwarabu uarabuni wanaangalia mwezi unaoandama Tanzania sio uarabuni
Punguza jazba,unaswahaba mtanzania wewe?kuna aya imekutamka mtanzania? Allah aliwapa waarabu mtume.wewe mtanzania anaye? Jadili jambo kwa uelewa
 
Kwa hiyo wanao amini tofauti mtakavyo nyie hawajasoma?
Nyie ndo vizazi vya ibilisi mnajifanya waislama ili muwatoe kwenye dini mdogomdogo.
Huo mwezi wakukosa kuchomoza nchi jirani zinazo kuzunguka kuna haja gani kuulazimisha?

Mtume alisema Dunia itakua kiganjani alijisahau vipi kusema tutafunga kwa mwezi mmoja ulimwengu wote?
Suudia au zaidi Arabia tumepishana nao masaa mangapi?
 
Suudia au zaidi Arabia tumepishana nao masaa mangapi?
Madhali hatuombani chuvi hao si wenzetu.
Uisilam hauindeshi na hisia au mipango ya watu.
Umewahi jiuliza kwa nini ukijamba unatakiwa kutia udhu na si kuchamba?

Mtume alisahau kutuambia tutafunga mwenzi mmoja ulimwengu wote na ametuambia Dunia itakua kiganjani?
 
Usifike kwenye ulimwengu huko mbali.

Mtume alijisahau vipi kusema tufunge kwa mwezi mmoja Nchi nzima ?

Unadhani mtume isema tufunge kwa mwezi mmoja Nchi nzima ?

kama hakusema kwa nini leo mufti anaweza kutangaza tufungue kwa mwezi wa kigoma ilhali yeye yupo dar kisa tu ni nchi moja ?

Kama alisema unaweza kunionesha waoi alisema hayo maneno?

Asante.
Nakuheshimu ila kwa hili nakupuuza
 
Mtume alisahau kutuambia tutafunga mwenzi mmoja ulimwengu wote na ametuambia Dunia itakua kiganjani?
Mkuu na mimi nauliza tu

kwa sababu hakuna kauli mtume anasema watu wafunge kwa mwezi mmoja duniani kote,kama amnavyo hakuna kauli mtume kasema kuwa watu wa nchi moja mufunge kwa pamoja.

Kwa muktadhwa huu nakuuliza mkuu Mtume alisahau kutuambia kuwa tutafunga mwezi mmoja NCHI NZIMA ?
 
Back
Top Bottom