Leo Ngoma za Injili tu

Kwa kipindi hiki cha Kwaresma Nakupa kibao Murua kabisa kutoka kwa Rose Muhando "Siki na Sifongo" acha kabisaaaaaaaa
 
Kwaya
Ufunuo choir - usisahau
Neema Gospel choir - Mwema
Njiro Sda - kishindo cha wakoma
Patandi choir - mwaka mpya
Band
Leeland - way maker
Michael Bakenda - Masiya Azali Lisekwa
Maajabu Gospel - Mungu wa maajabu
Huru - Jina la Yesu
Paul Clement - Ebenezer
Rebekah Dawn - kutembea nawe
 
Mercy chinwo-your love is kind
Mercy chinwo-testmony
Jonathan Nelson-I believe
Timi Dakolo-Everything(amen)
Paul clament &aic-jina la yesu
Dr Ipyana-Nashukuru
Rose muhando-uwe macho
Na nyingine nyingi tu
 
Kuna hawa Wamarekani wanaitwa Mavericky city wako Vizuri sana kwenye iyo sector

Mfano kama, refiner, promises ya joel barnes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…