Leo ndo nimeamini mmliwaua Hadi huyu Claudia MASSAWE nae mlimuua 29.10.2025

Leo ndo nimeamini mmliwaua Hadi huyu Claudia MASSAWE nae mlimuua 29.10.2025

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,938
Reaction score
10,815
Nilikuwa nikisikia kwa jirani ila Leo yamenifika, sikufanikiwa kumzika Claudia Mwana wa MASSAWE kutoka mkoa wakilimanjaro Binti pekee aliyetegemewa na Baba yake Mzee MASSAWE pale Rau.

Hakika ni majonzi Binti ambae alikuwa tegemeo pekee la Mzee MASSAWE ,

Leo napita hapo nyumbani kusalimia NAKUTA kaburi lenyesaaba ULIO andikwa r. I.p Claudia MASSAWE real?
NImeamini mliwafyeka hongereni
Nauliza naambiwa Claudia hata hakuandamana ila TU alishutiwa na polis walio tumwa na samukaya! Awafinge wadanganyika
 
Yale mauaji yalishapangwa ilikua inasubiriwa tu atakayeingia barabarani wapate justification ya kuua watu.

Na wengi walishutiwa nyumbani maana waligoma kupiga kura so nao walihesabika wameunga mkono No reforms No elections!! Bila kujua kutopiga kura nayo ni demokrasia.
We jamaa uko sawa kabisa
 
Back
Top Bottom