Leo ndio nimewaelewa vizuri hawa masharobaro!

Leo ndio nimewaelewa vizuri hawa masharobaro!

Mkuu me nadhani ungemuuliza kwanza ni kwanini kaamua kuwazungumzia hao na kuacha makundi mengine ya vijana na kuamua kulizungumzia hili na si kukurupuka kama ulivyofanya. Uwe na utaratibu wa kuuliza kwanza unapoona mtu anazungumzia jambo fulani linalomkera siku ingine utajadungwa makofi kwa kukurupukia watu. Huwezijua labda washamgegedea mrembo wake jee!!!
Punguza kukurupuka na ujuaji mwingi,utanyooshwa!!!
ha haha ha h aaa,mkuu umenichekesha sana,kama kuna madhara wamemletea ilibidi yeye ndio aje na habari iliyokamilika,kinyume na hapo kakosea kuwasema watu ambao sidhani kama wana madhara yeyote kwake,au ndio nyie wa SURA MIZENGO?
 
sio kweli mkuu,mimi sio mtu wa aina hizo hata kidogo,binafsi mimi huwa sipendi mtu anayewasema watu ambao hawana madhara yeyote kwake,kila mtu ana maisha yake ukianza kumsema kila mtu kuhusu anavyoishi huwa naona kama utakuwa unapoteza muda wako wa kufanya maendeleo,kwani hao masharobaro wenyewe hawajui wakifanyacho?waache na maisha yao maana mwisho wa siku bado wakifeli hautokuwa msaada wowote kwao,kwaio ni kupoteza tu muda wako mkuu!
hapana lazima tuseme hili sisi sio mataifa ya kibepari kufikia hatua eti kila mtu afanye atakavyo pasipo kukemewa na jamii, kiukweli hawa vijana wenzangu we masuali ya njano, kijani, nyeupe pee zilizochanwa magotini mimi huwa hazipandi kabisaaa!!
 
Hawa ndio wale enzi zetu tulikuwa tunawaita macheki bob,anyway kila zama ina mambo yake hata sisi miaka ile walikuwa wanatuboa sana.
 
Hii maada imenikumbusha mbali secondary Mtu ukiwa msafi sn unaonekana bishow ukiwa mchafu chafu uneonekana mgumu yaan msela
 
wanapenda kubeba beg kubwa mgongoni afu ndani kuna tuearphone tu, na hana hata objective ya kubeba hilo begi zaid ya kutafuta muonekano,
Sasa wale wa darisalama ndo wanavaa sana tubukta twa jinsi afu chini tumekunjwa kidogo tupo juu ya magoti,,
Afu wanapenda kale kamnyoo ka bob juniour na diamond plus kujichubua.
 
Live your life mind your own business, Hatuwezi kufanana ktk life style ndio mana kuna mlevi au mchangamungu
 
sio kweli mkuu,mimi sio mtu wa aina hizo hata kidogo,binafsi mimi huwa sipendi mtu anayewasema watu ambao hawana madhara yeyote kwake,kila mtu ana maisha yake ukianza kumsema kila mtu kuhusu anavyoishi huwa naona kama utakuwa unapoteza muda wako wa kufanya maendeleo,kwani hao masharobaro wenyewe hawajui wakifanyacho?waache na maisha yao maana mwisho wa siku bado wakifeli hautokuwa msaada wowote kwao,kwaio ni kupoteza tu muda wako mkuu!
Hekima tupu hizo unazoongea .mnasema hawafanyi kazi mmewapa kazi wakakataaa
 
6cdfac2952b5f9f95086837ccc8522e2.jpg

Hivi nini maana ya kupose hivi anatoa ulimi na kufunga jicho moja??

Sithani kama wanamuiga Albert Einstein.
Chakula nn!!!??
 
vijana, wavulana, wanaume wa DAR ES SALAAM hao!
kuwa specific mkuu huku mikoan vijana wanajielewa sana ni kazi tu
 
tayari jiwe la mleta uzi limepiga paji la uso kizani[emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ukisikia "yalaaaaa" ujue limempata.we subiri tuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom