komba05
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 367
- 293
Habari wanaforum!
Leo nimegundua Sifa kuu za hawa vijana Wa sasa hivi aka masharobaro! Hivi inakuwaje hawa watu kuazimana nguo, tena inafikia hata boxer watu wanavaliana kha! Haya ukija ktk kazi hawataki kufanya wao 24 hrs utamsikia akijadili ishu za mziki na mademu, wanaopenda miteremko balaaa yaani utakuta yeye ni vizinga tu hata aibu haoni! Tafadhali nyie vijana tafuteni pesa kwanza ndio mfanye hayo mambo la sivyo 0713 4G itawahusu!
Ongeza nawe tabia za hawa watu!