kirusi cha ukimwi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 799
- 648
Swadaktaaaaa shekhe wangu ha ha ahWakipiga picha mapozi yao kutunisha mashavu na mdomo kuupeleka mbele na macho kuyatoa nje kama wanashangaa
Swadaktaaaaa shekhe wangu ha ha ahWakipiga picha mapozi yao kutunisha mashavu na mdomo kuupeleka mbele na macho kuyatoa nje kama wanashangaa
He he ..ha haha ha h aaa,mkuu umenichekesha sana,kama kuna madhara wamemletea ilibidi yeye ndio aje na habari iliyokamilika,kinyume na hapo kakosea kuwasema watu ambao sidhani kama wana madhara yeyote kwake,au ndio nyie wa SURA MIZENGO?