Leo ndio nimegundua uzandiki wa wanawake

Leo ndio nimegundua uzandiki wa wanawake

C6Vj4TnH8 xUAAAAAElFTkSuQmCC
 
Safi kabisa tatizo wanaume wamezidi u.m.a.laya acha tuu wafanywe wanavyofanywa aiiiiiih
 
Awekwe tu kila siku wanasikia matangazo kuwa MICHEPUKO SIO DILI, TULIA NJIA KUU hasikii inamana ?????? Nyie ndugu mliooa mtulie tu mtuwache masingle tusumbue na kutenda dhambi maana tutatubu mbeleni.

Ww tenda dhambi na unaweza kufa kabla hujatubu😀😀😀
 
mi sijaelewa kuhusu video........imekujaje kwenye hii simulizi? samahani labda nazeeka na kiswahili kinakua haraka sana.

kurekodi sio video tu. hata audi unarekodi
 
mara nyingi salun hua kuna mziki kidogo sasa hizo kelele za simu zitoke chumba kimoja ziende nje hadi chumba cha pili????
na kama ni kweli waitume moja kwa moja kwa mkewe pesa hana anasumbua watu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom