Tanganian
JF-Expert Member
- Jan 27, 2025
- 7,066
- 11,977
Mkome, yaani wewe na akili yako ulete machafuko mpaka mchome biashara za watu kisa siasa , unafikiria ingekuwaje kama mngeendelea wiki moja tu .. Kama una huruma , kasaidie wasiojiweza sio kuleta machafuko .Umejisikiaje baada ya kuandika hivi 🤦🏼
Narudia tena , mkome na ujinga wenu.