Sijaona utetesi wa hii habariZa kushinda wapendwa
Moja kwa moja kwenye maada.
Leo nipo bar na nimewaona walimu wengi sana hapa Ambao tunafahamiana .
My take nini kimetokea kwa walimu wetu wapendwa and way wafanye kama kasherehe hivi.
Hahahahaha inafurahisha ukikutanao wape ushauri usije wakafika na chaki zao nasikini huruma kwelWanatamaa za kutaka kujiondolea stress kumbe hta hizo hela za balimi ni za mkopo.
Hahahahaha inafurahisha ukikutanao wape ushauri wasije wakafariki na chaki zao nasikini huruma kwel