Leo namsafisha Kigwangallah: Kampuni yake haikupata Stimulus Package!

We jamaa either huna akili au una akili ila hujui matumizi yake! Kwann unaleta ki2 cha kitoto hapa au ulifikiri awatu hawatufuatilii mambo? Wengine tunasoma na kudigest everyword,haya hiyo kampuni no.13 ni ya mshenzi gani mwingine?
 
Nafikiri huyu jamaa kakosea kuandika. Sijui shetatani alimpitia alitaka kuandika akakisahau na kuandika kitu kingine tofauti. Kampuni No. 13 ni MSK sasa yeye anasema haipo, mmmhhhh
 
Umsafishe kwani wewe ni mahakama..?

Mkuu mahakama kazi yake si kusafisha watu take a good example from our neighbour Kenya whereby four court of appeal judges have been expelled from the judiciary due to the purpoting act by the four judges ya kuwasafisha watuhumiwa na mahakama katika kesi ya Goldenberg!
 
View attachment 52884View attachment 52885
kila siku nimekuwa nikifuatilia mijadala hapa jf hususan kuhusiana na mbunge wa nzega, dkt. Hamis kigwangallah, uhusiano wake na ofisi ya mke wa rais (wama) na kupewa mkopo kwa ajili ya kufanya biashara. Nimefanikisha kupata orodha ya makampuni yaloyopewa stimulus package na kukuta kampuni ya msk solution ltd ambayo inamilikiwa na dkt. Kigwangalla haimo, hivyo habari zote kuwa alipewa shavu na mama kikwete kupitia mfuko huu ni uongo. Pia nimepata taarifa kutoka kikao cha wafanyabiashara, wakulima na bodi ya pamba na waziri wa kilimo prof. Maghembe kilichokaa pale bungeni dodoma j2 iliyopita na kufuatiwa na kikao kingine leo hapa mwanza kuwa wanalalamika kwa kutopewa wenyewe na badala yake kupewa makampuni yasiyojihusisha na biashara hiyo na hivyo kumuomba rais aangalie jinsi mchakato huu ulivyoendeshwa ili kunusuru masoko ya wakulima wa zao hili nyeti kanda ya ziwa.
Hasafishiki hata ukitumia jik, foma, na steelwire
 
We jamaa either huna akili au una akili ila hujui matumizi yake! Kwann unaleta ki2 cha kitoto hapa au ulifikiri awatu hawatufuatilii mambo? Wengine tunasoma na kudigest everyword,haya hiyo kampuni no.13 ni ya mshenzi gani mwingine?

Nafikiri huyu jamaa kakosea kuandika. Sijui shetatani alimpitia alitaka kuandika akakisahau na kuandika kitu kingine tofauti. Kampuni No. 13 ni MSK sasa yeye anasema haipo, mmmhhhh
Huyu alidhani kwa kutuwekea kopi isiyosomeka ndio itakuwa iepita hiyo. Masikini hata hakujipa kazi ndogo ya kufuta au kuchakachua jina la kampuni.
 
Mleta mada hebu tufafanulie kidogo kwanini watu wanapokuwa mawaziri ndipo wanapozama kuwa wafanyabiashara wakati ccm na Kikwete walisema mawaziri wachague siasa au biashara?

Nafikiri bwana Anthony Diallo alichagua biashara akaacha siasa sasa mbona hawa akina Ngeleja, Maige, Nyalandu, Chami, Kikwete nk wao bado hawajafanya uamuzi?
 
View attachment 52884View attachment 52885
kila siku nimekuwa nikifuatilia mijadala hapa jf hususan kuhusiana na mbunge wa nzega, dkt. Hamis kigwangallah, uhusiano wake na ofisi ya mke wa rais (wama) na kupewa mkopo kwa ajili ya kufanya biashara. Nimefanikisha kupata orodha ya makampuni yaloyopewa stimulus package na kukuta kampuni ya msk solution ltd ambayo inamilikiwa na dkt. Kigwangalla haimo, hivyo habari zote kuwa alipewa shavu na mama kikwete kupitia mfuko huu ni uongo. Pia nimepata taarifa kutoka kikao cha wafanyabiashara, wakulima na bodi ya pamba na waziri wa kilimo prof. Maghembe kilichokaa pale bungeni dodoma j2 iliyopita na kufuatiwa na kikao kingine leo hapa mwanza kuwa wanalalamika kwa kutopewa wenyewe na badala yake kupewa makampuni yasiyojihusisha na biashara hiyo na hivyo kumuomba rais aangalie jinsi mchakato huu ulivyoendeshwa ili kunusuru masoko ya wakulima wa zao hili nyeti kanda ya ziwa.

...Unamsafisha Kingwangallah wewe kama nani? Salma Kikwete, Mkuu wa Polisi nchini, Mkuu wa Takukuru, Salva Rweyemamu!?
 
kwani wewe mdau una hisa kwenye kampuni yake au kakutuma umtetee au ni kwamba tu labda unajipendekeza akupe shavu??
 
Back
Top Bottom