chikakatata
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 220
- 98
View attachment 52884View attachment 52885
kila siku nimekuwa nikifuatilia mijadala hapa jf hususan kuhusiana na mbunge wa nzega, dkt. Hamis kigwangallah, uhusiano wake na ofisi ya mke wa rais (wama) na kupewa mkopo kwa ajili ya kufanya biashara. Nimefanikisha kupata orodha ya makampuni yaloyopewa stimulus package na kukuta kampuni ya msk solution ltd ambayo inamilikiwa na dkt. Kigwangalla haimo, hivyo habari zote kuwa alipewa shavu na mama kikwete kupitia mfuko huu ni uongo. Pia nimepata taarifa kutoka kikao cha wafanyabiashara, wakulima na bodi ya pamba na waziri wa kilimo prof. Maghembe kilichokaa pale bungeni dodoma j2 iliyopita na kufuatiwa na kikao kingine leo hapa mwanza kuwa wanalalamika kwa kutopewa wenyewe na badala yake kupewa makampuni yasiyojihusisha na biashara hiyo na hivyo kumuomba rais aangalie jinsi mchakato huu ulivyoendeshwa ili kunusuru masoko ya wakulima wa zao hili nyeti kanda ya ziwa.
acha uongo, hata mimi niko wanabidii na sijawahi kuona kama alishawahi kusema alipewa. acheni chuki binafsiUsichezee akili za watu. Kule kwenye jukwa la Wanabidii, Kigwangala mwenyewe alikwishakiri kuwa alipata fedha la Stimulus Package lakini akaijitetea kuwa kampuni yake ilistahili kupata, leo na wewe sijui umetokea wapi, unatuletea porojo. Wewe ni kuwadi? Kwa nini asijitetee mwenyewe?
kama una data njoo 4wd na umsafishe yeyote yule umtakaye kwani umeshikwa mkono?Haya nayo mambo. Kwamba mtu anasimama na kusema namsafisha fulani. Ama kweli hata mimi nitasimama na kusema namsafisha mkulo na mawaziri wenzake.
ahadhali wadau leo wameuweka wazi ukweli kuhusu stmulus package maana Mh Kigwangallah amekuwa akihangaika sana kujitetea hapa lakini haeleweki bora leo wameleta ushahidi tumeuona
mbona sisi tumesoma? jaribu kuka-click katakuwa kakubwa utaona kama kampuni ya MSK Solution (ambayo ndiyo ya Mh Kigwangallah) imo au haimoAti 'leo namsafisha HK'
Msafishe tu!! hako ka-attachment kenyewe hata hakaonekani!!
acha uongo, hata mimi niko wanabidii na sijawahi kuona kama alishawahi kusema alipewa. acheni chuki binafsi
Unakusudia kusema nini kuwa katika orodha ya stimulus package haimo?
Angalia au soma vizuri jina la kampuni nambari 13View attachment 52923.