Leo najibu pm zote

Leo najibu pm zote

This member limits who may view their full profile.

Sasa pm nitakufikiaje mkuu nakosa uhondo.
 
Ahahaaa mi sivaagi bra wala chupi si unajua.Leo nitatokelezea kivingine utapenda zaidi

Njoo Baby J

10A9C908-3852-4B7C-A006-2B38049BFAD6.jpeg
 
duh aisee ni fursa hizi kwa vijana si wengine sema tu tayari najisikitikia kwanini hii jf haikuwaga pindi mimi kijana inaniuma sana
 
Mkuu soko limekua gumu sana? Shusha bei tu usiweke msimamo kama bei ya korosho.
 
Naomba kujua namna Bora ya kukushawishi uwe na ukaribu sana na mimi.
 
Mkuu naona unatafta attention, na umeamua utuchore wanaume wa jf, huko mtaani hakuna wanaume wa kukupa attention? Wanaume wenye njaa ya k*ma ndo watajisogeza huko kwenye pm yako, wangejua kuwa hawatopata kitu bhas wasingejisumbua, binafsi sijisumbui kuku-text pm maana najua sitofaidika na chochote Miss Natafuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom