Leo nafanya interview Ubalozi wa Marekani kwa ajili ya viza

Ninaungana nawe 100%,umeona hawa dot.com wanavyojibu ili kukukatisha tamaa, all the best mkuu ,fanya vitu to the basic, documents zako ziwe byeeee, vaa casual but smart, eye contact ni muhimu mno, swali kama hujui jibu ,honestly waambie hujui (crocodiles wanachukia mno mtu mwongo),majibu yawe mafupi down to details, always onyesha ukweli wako na kama wapo zaidi ya wawili always maintain eye contact na anayekuuliza ,Good luck
Ahsante sana mkuu, nimejifunza jambo kubwa sana leo kuhusu watanzania.
 
Salamu wakuu,

Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, nikihangaikia suala la kutoka huku nchini kwetu kwenda Marekani, hatimaye leo ndio siku yenyewe ya kujua mbivu na mbichi. Nitakuwa ubalozini kwa ajili ya visa interview saa tatu na dakika 45 asubuhi hii.

Namuomba sana Mwenyezi Mungu anifanikishe katika jambo hili, niombeni pia rafiki zangu, nitaleta mrejesho.

Wasalaam.

Mrejesho wa nini hapa! Unadhani kwenda Marekani ni mbinguni! Huko unajipeleka utumwani tu! Nchi yako hii ni bora mara 1000 kuliko huko unakoomba na kusali! Utajua hilo utakapofika huko kama utafanikiwa interview yako! Utakuja kurudi huku mikono mitupu kama utakavyokwenda!
 
Back
Top Bottom