- Thread starter
- #21
Aisee!Acha ujinga, agiza KVant unywe.
K-vant mkuu situmii
Aisee!Acha ujinga, agiza KVant unywe.
Hii inaweza ika-work out ngoja niijaribuUkitoka hapo atazima, zuga unatoka kdogo nenda nyuma ya nyumba uskilizie!
UshafeliAisee!
K-vant mkuu situmii
Hapo ndo tatizo la kupigiwa taarabu limeanzia.Ki-uchumi nimeyumba kidogo
Naona kama ni visa tuuHapo ndo tatizo la kupigiwa taarabu limeanzia.
Mnase makofi unakwama wapi
Niko zangu chumbani yeye anafanya usafi huko sebuleni!Fanya kama unatingisha kichwa au mguu kuashiria kua hizo taarabu zinakuvutia kinoma na unaenjoy,utaona atazima mwenyewe.
Shukrani Mkuu!Pole mkuu
Umpige kisa nini?Naona kama ni visa tuu
Nimpige aanze kuita nduguze!
Kasema kapigika ndo manaMuda wa kufuatilia anachokisikiliza mkeo kwenye radio unautoa wapi mkuu?
Una umri gani?
Umri wa kutosha tuu mkuu!Muda wa kufuatilia anachokisikiliza mkeo kwenye radio unautoa wapi mkuu?
Una umri gani?
Kwa kweli.@cocastic msitufanyiee hivyo!
Muwe na huruma
🤣🤣🤣🤣Sana yaan🥴Lazima ujumbe ukufikie
Lakini mnafanya vibaya kwa nini msikae chini muyaongee tuu🤣🤣🤣🤣Sana yaan🥴
Lamba makofi mawili ya kutosha akome zima redio ipasue kabisa ikiwezekana.Mtu
Umpige kisa nini?