- Thread starter
- #41
Kuna muda unafikiria hivyo!Hizi ndoa,muda mwingine ni bora kuishi mwenyewe tu!
Kuna muda unafikiria hivyo!Hizi ndoa,muda mwingine ni bora kuishi mwenyewe tu!
Mi nshamaliza kwa sasa ni kuchakata tu huku na kule narudi home hoi.Hizi ndoa,muda mwingine ni bora kuishi mwenyewe tu!
Babu ushauri wako ni mzuri tatizo ni dogo tuu!Mi nshamaliza kwa sasa ni kuchakata tu huku na kule narudi home hoi.
Netflix kwa wiingi
Mtoto umri gani?kua single pappa pia si mbaya.Babu ushauri wako ni mzuri tatizo ni dogo tuu!
Financially siko vyema!
Napambana niweke mambo sawa ye ndo ananipga vijembe.
Kwahyo ni wakati mgumu kidogo kwangu
Jiandae utakua na kesi ya kujibu😁Habari wakuu,
Poleni na majukumu!
Leo toka asubuhi wife ameamka ameweka taarab tu tena kwa sauti kubwa!
Taarab zile za kina Mzee Yusuph na Jahazi, na nikifikiria kipindi ninachopitia naona kama napigwa mafumbo,
Ushauri nifanyeje?
😅😅😅👏👏👏Fanya kama unatingisha kichwa au mguu kuashiria kua hizo taarabu zinakuvutia kinoma na unaenjoy,utaona atazima mwenyewe.
🤣🤣🤣Bado nacheka comment yako jamanLazima ujumbe ukufikie
Dawa na wewe ni kuzifurahia. Usionyeshe kukasirika. Utakuja kunishukuruHabari wakuu,
Poleni na majukumu!
Leo toka asubuhi wife ameamka ameweka taarab tu tena kwa sauti kubwa!
Taarab zile za kina Mzee Yusuph na Jahazi, na nikifikiria kipindi ninachopitia naona kama napigwa mafumbo,
Ushauri nifanyeje?
Ndio hivyo sasa wanawake ndio zenu hizo mwanaume usije ukafulia ndani ya nyumba🤣🤣🤣Bado nacheka comment yako jaman
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dahhh!! Ina nini hiyo nyimbomwambie apige Kijeba ya Late Leyla Khatib
utanishukuru
RIP Mudhihir M. Mudhihir
😅 😅 😅 😅 haina vijembe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dahhh!! Ina nini hiyo nyimbo