HahahahaVipi anakupigia mtarimbo umelala au mhogo wa Jang'ombe!
Bwana weee!Lazima ujumbe ukufikie
Aa hawanaga huruma mzeee....tuishi nao kwa akiliBwana weee!
Lakini hakuwa na haja ya kufanya ivyo!
Hahaaaahhaa... Sijakariri nyimbo Ila ni vijembe!Vipi anakupigia mtarimbo umelala au mhogo wa Jang'ombe!
Babu! Hiyo itakuwa busara au nitaanzisha ugomvi humu ndani?Ushauri gani unataka?
Chukua redio fungia kwenye kabati au itupe kabisa.
We vp chips yai
Njoo bar tunyweHabari wakuu,
Poleni na majukumu!
Leo toka asubuhi wife ameamka ameweka taarab tu tena kwa sauti kubwa!
Taarab zile za kina Mzee Yusuph na Jahazi, na nikifikiria kipindi ninachopitia naona kama napigwa mafumbo,
Ushauri nifanyeje?
Ahaa.. Sidhani kama naweza msemesha kwa sasa!mwambie apige Kijeba ya Late Leyla Khatib
utanishukuru
RIP Mudhihir M. Mudhihir
mtumie SMS, ataitafuta ataipigaAhaa.. Sidhani kama naweza msemesha kwa sasa!
Hii nzuri ngoja nitoke tu hapa!Njoo bar tunywe
We umeoa au umeolewa?Babu! Hiyo itakuwa busara au nitaanzisha ugomvi humu ndani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi anakupigia mtarimbo umelala au mhogo wa Jang'ombe!
@babukijana tatizo familia (watoto)We umeoa au umeolewa?
Akileta ugomvi si ndo ticket ya kwenda kwao likizo ya muda usiojulikana.
Hao viumbe ukilala tu watakutia uchizi
@cocastic msitufanyiee hivyo![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]